Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Duh..Waanze kulipwa tar 15 ili wasifike vituo vya kazi
Au waje wamelewa njwiiii
Basi unahisi tunawasingizia?Duh..
Kukaa kimya wakati mwingine ni busara..
Hicho kitacholipwa tarehe 15 kitaitwaje japokuwa kada za kijjeshi tarehe hiyo hulipwa allowance nafikili ni kiasi 300,000 - 450,000Serikali ichukue huu ushauri itakuja kunishukuru.
Ipange(plan) bajeti ya kuwalipa watumishi wa umma kias cha pesa kila tarehe 15 . Wkt ambapo watu wengi mfukoni hawana kitu Chochote.
Lkn pia itakuja kukata kiu ya dai la Muda mrefu, nakumbuka nilisikia ushauri huu unatolewa tangu miaka na Miaka
Hili liko wazi mkuu, sema ni kujitoa fahamu......kama mshahara ungeendana na uhalisia wa hali ya maisha na kiuchumi haijalishi hata kama utalipwa mara moja mwishoni mwa mwezi.Mimi naona wawalipe wafanyakazi mshahara wenye uhalisia. Huu mshahara wa sasa kwa kada nyingi umekaa kimtego sana.
Na ndiyo maana wajanja wanaona bora wawekeze nguvu kubwa kufanya mambo yao binafsi, ili kufidia ma gap.
Huwezi kumlipa mtu laki 6 kwa mwezi, halafu pesa hiyo hiyo anunulie chakula, atumie kama nauli, apange chumba/nyumba, anunue nguo, asomeshe, asaidie familia yake, nk.