Serikali iweke ration kwa walimu pia

Serikali iweke ration kwa walimu pia

Atakununulia peremende. Mijitu mmekaa kuvunja watu mioyo tu. Roho nyeusi ka mfuga mamba.

young teacher mbona mkali hivyo? kumbuka walimu na wanajeshi wanafanya kazi terms tofauti. teachers are "employed" and military personnel are "enrolled" vilevile risk potential ni kubwa kuliko walimu. fatiria maslahi ya wanajeshi katika nchi za karibu tu -east africa. tanzanian troops are at the bottom of the ladder
 
Kuanzia sasa hivi nimefuta rasmi cheti chako cha chekechea na matokeo ya muhula wa pili wa darasa la kwanza, utarudia ngazi uliyofutiwa cheti na kila ukibeba biskut nitakunyang'anya nampa kuku wangu kwasababu sijazalisha bado. Ukome kuchezea waliokufundisha adabu ya kula na kuamkia na kuimba hadi leo unajiona una haki ya kuandika ushenzi hapa.
Samahani Mwalimu. Naomba unipe adhabu nyingine. Hii ni kubwa mno.
 
just relax my friend, wanajeshi na wafanyakazi wengine terms zao ni tofauti sana. wanajeshi wako "enrolled" na walimu wameajiriwa. na potential risk ni tofauti

kwani nchi nyingine au hapo kabla posho ilipokuwa inatolewa kabla ya kufutwa na Mkapa kulikuwa na terms gani ,si ni hizo zilizopo sasa kwahiyo hiyo sio sababu ni lugha tu kiutawala au za kisiasa zinazotumika na watu kutaka kuhalalisha kutowapa posho walimu.
 
binafsi sina tatizo na walimu na napenda sana kazi hiyo. sina hakika kama umewahi udhuria proper military training achilia mbali hizi siasa za kwa mujibu wa sheria. yani unalalamikia posho ya mtu aliyesahini kifo kwa niaba yako.? uhai makamanda waliopoteza maisha yao on your behalf unaulipa kwa gharama gani? umeona kinachoendelea somalia, middle east na kwingineko? have heart brother. hii task ya kulinda nchi ni ngumu mno.
 
Labda hujanielewa nilichosema ni kuwa kutowapa posho walimu si kwa sababu ya tems za kazi bali ni uamuzi tu wa serikali Kama askari anapewa posho kwasabu ya risk za kazini kama ulivyotolea mfano si hija ya msingi kwasababu naamini hakuna pesa yoyote inayoweza kuwa mbadala wa nafsi za watu . Na pia uelewa kila kazi ina ugumu na changamoto zake na hasa kumsomesha mtoto mpaka aelewe ni vugumu pia .
 
Labda hujanielewa nilichosema ni kuwa kutowapa posho walimu si kwa sababu ya tems za kazi bali ni uamuzi tu wa serikali Kama askari anapewa posho kwasabu ya risk za kazini kama ulivyotolea mfano si hija ya msingi kwasababu naamini hakuna pesa yoyote inayoweza kuwa mbadala wa nafsi za watu . Na pia uelewa kila kazi ina ugumu na changamoto zake na hasa kumsomesha mtoto mpaka aelewe ni vugumu pia .[/QUOTE kumaliza utata unganeni mtetee haki yenu . walimu ni wengi lakini action yenu ni ndogo. hivi cwt uwa bado hipo? mkoba je?
 
-WALIMU watu wenye madeni mitaani,madukani,kwenye vilabu vya mataputapu,
-WALIMU watumishi wa umma wenye mikopo kila taasisi ya kifedha
-WALIMU walevi wa bia kwa siku 5 za mwanzo wa mwezi baadae wanarudia mataputapu
-WALIMU watu wasiojitambua
IT BE CONTINUED

Astaqfirilah! Huyu kijana sio bure. Yani anawatusi waliosafisha ubongo wake kiasi hik!!!
Wacha niangalia mwongozo wa utoaj wa adhabu na unasihi wa watu wenye makosa makubwa kama yako halaf nitarud.
 
just relax my friend, wanajeshi na wafanyakazi wengine terms zao ni tofauti sana. wanajeshi wako "enrolled" na walimu wameajiriwa. na potential risk ni tofauti

Nadhani wewe ndo u-relax maana wenzio kuongezewa hiyo ration tu umepondea...relax tu, wakipewa wapewe, wasipopewa wasipewe.
 
mi niko relaxed and satisfied with my package.
 
Back
Top Bottom