Atakununulia peremende. Mijitu mmekaa kuvunja watu mioyo tu. Roho nyeusi ka mfuga mamba.
Samahani Mwalimu. Naomba unipe adhabu nyingine. Hii ni kubwa mno.Kuanzia sasa hivi nimefuta rasmi cheti chako cha chekechea na matokeo ya muhula wa pili wa darasa la kwanza, utarudia ngazi uliyofutiwa cheti na kila ukibeba biskut nitakunyang'anya nampa kuku wangu kwasababu sijazalisha bado. Ukome kuchezea waliokufundisha adabu ya kula na kuamkia na kuimba hadi leo unajiona una haki ya kuandika ushenzi hapa.
Watafundishwa na walimu wasiolalamika.walimu wakifanya hicho usemacho, wanao watafundshwa na nani?...
just relax my friend, wanajeshi na wafanyakazi wengine terms zao ni tofauti sana. wanajeshi wako "enrolled" na walimu wameajiriwa. na potential risk ni tofauti
kwani nchi nyingine au hapo kabla posho ilipokuwa inatolewa kabla ya kufutwa na Mkapa kulikuwa na terms gani ,si ni hizo zilizopo sasa kwahiyo hiyo sio sababu ni lugha tu kiutawala au za kisiasa zinazotumika na watu kutaka kuhalalisha kutowapa posho walimu.
binafsi sina tatizo na walimu na napenda sana kazi hiyo. sina hakika kama umewahi udhuria proper military training achilia mbali hizi siasa za kwa mujibu wa sheria. yani unalalamikia posho ya mtu aliyesahini kifo kwa niaba yako.? uhai makamanda waliopoteza maisha yao on your behalf unaulipa kwa gharama gani? umeona kinachoendelea somalia, middle east na kwingineko? have heart brother. hii task ya kulinda nchi ni ngumu mno.
Labda hujanielewa nilichosema ni kuwa kutowapa posho walimu si kwa sababu ya tems za kazi bali ni uamuzi tu wa serikali Kama askari anapewa posho kwasabu ya risk za kazini kama ulivyotolea mfano si hija ya msingi kwasababu naamini hakuna pesa yoyote inayoweza kuwa mbadala wa nafsi za watu . Na pia uelewa kila kazi ina ugumu na changamoto zake na hasa kumsomesha mtoto mpaka aelewe ni vugumu pia .[/QUOTE kumaliza utata unganeni mtetee haki yenu . walimu ni wengi lakini action yenu ni ndogo. hivi cwt uwa bado hipo? mkoba je?
Samahani Mwalimu. Naomba unipe adhabu nyingine. Hii ni kubwa mno.
-WALIMU watu wenye madeni mitaani,madukani,kwenye vilabu vya mataputapu,
-WALIMU watumishi wa umma wenye mikopo kila taasisi ya kifedha
-WALIMU walevi wa bia kwa siku 5 za mwanzo wa mwezi baadae wanarudia mataputapu
-WALIMU watu wasiojitambua
IT BE CONTINUED
just relax my friend, wanajeshi na wafanyakazi wengine terms zao ni tofauti sana. wanajeshi wako "enrolled" na walimu wameajiriwa. na potential risk ni tofauti