Mwangajamii Tanzania
Member
- Oct 24, 2018
- 34
- 48
Nadhani Serikali Iweke Adhabu Kali kwa Yeyote Atakaevuta Sigara hadharani. Maana haiwezekani Tuleteane Magonjwa ya cancer za Mapafu kwa Ajili ya Starehe ya Mtu mwingine. Mtu ananunua Sigara Dukani Anawashasha hapo hapo halafu anapuliza Moshi watu watu wengine wanavuta limoshi lake. Hii haijakaa Mahali pake. Na Nadhani Angalau Faini yake Isipungue chini ya 300,000 au kifungo Cha Miezi Sita Jela au vyote kwa Pamoja.... Ili iwe fundisho kwa muhusika na wengine wenye tabia kama hizo.
View attachment 2978544
Yaani hili jambo lifanyike na litekelezwe haraka na wasajiriwe kabisa hao watumiaji.Nadhani Serikali Iweke Adhabu Kali kwa Yeyote Atakaevuta Sigara hadharani. Maana haiwezekani Tuleteane Magonjwa ya cancer za Mapafu kwa Ajili ya Starehe ya Mtu mwingine. Mtu ananunua Sigara Dukani Anawashasha hapo hapo halafu anapuliza Moshi watu watu wengine wanavuta limoshi lake.
Hii haijakaa Mahali pake. Na Nadhani Angalau Faini yake Isipungue chini ya 300,000 au kifungo Cha Miezi Sita Jela au vyote kwa Pamoja.... Ili iwe fundisho kwa muhusika na wengine wenye tabia kama hizo.
View attachment 2978544
Kwa Sababu Hakuna aliyewahi kupewa Adhabu kaliKama sikosei miaka ya nyuma hii sheria iliwahi kuanzishwa na ikatangazwa ni marufuku kuvuta sigara kwenye public ukitaka kuvuta hakikisha unakuwa peke yako!
Sijui iliishia wapi
Aliona wehu hawamsikilizi ndiyo akaamua na yeye awe mwehu mwingine.Nakumbuka kuna jamaa alikua anakerekwa na wavuta sigara kwenye mkusanyiko kama ilivyo kwako wewe, chaajabu yule jamaa alikuja kuwa mrahibu wa sigara ile mbayaa...
,,😂😂😂😂Aliona wehu hawamsikilizi ndiyo akaamua na yeye awe mwehu mwingine.
Jamaa alikuwa na misimamo sana yaani kwa mfano mko kwenye Banda la mapicha akitokea mtu kuvuta sigara anadai hela yake endapo huyo mtu asipotimulia yaani jamaa anawaka balaa, lakini hii leo humwambii kitu kuhusu sigaraAliona wehu hawamsikilizi ndiyo akaamua na yeye awe mwehu mwingine.
Ni kama pombe za kujifunzia ukubwani.Unakuwa profesa nguli.Jamaa alikuwa na misimamo sana yaani kwa mfano mko kwenye Banda la mapicha akitokea mtu kuvuta sigara anadai hela yake endapo huyo mtu asipotimulia yaani jamaa anawaka balaa, lakini hii leo humwambii kitu kuhusu sigara
Wajeuri sana wavuta sigara.Watiwe adabu tu.Sigara ya shilingi mia mbili lakini hataki kuvuta mbali na umma halafu anaishika kwa madoido utadhani anakula biriani!Wauwawe kabisa!Mbona bia inauzwa aghali na hatutambi?Unajua ki nadharia kila mvuta sigara anatamani kuacha... Mi naona sheria zielekezwe kwenye kuwasadia wavutaji namna rahisi ya kuacha sio adhabu za vitisho vya faini na mambo ya jela miezi sita, na kama Io itapitishwa sheria ielekezwe kwa muuzaji pia anaemuuzia mtu na kumpa kiberiti mbele ya wasio wavutaji
Punguzo hasira mzee... Wauwawe tena 😧😧 basi ziuzwe Shemu elekezi au maduka yake yasihusishe bidhaa nyingine na watengewe maeneo yao peke yao maana wana haki sawa na wasio wavutaji kikubwa wasiwakere wasio wavutajiWajeuri sana wavuta sigara.Watiwe adabu tu.Sigara ya shilingi mia mbili lakini hataki kuvuta mbali na umma halafu anaishika kwa madoido utadhani anakula biriani!Wauwawe kabisa!Mbona bia inauzwa aghali na hatutambi?
Wauwawe ni chombezo tu.Wavute kwa adabu na kufuata sheria.Kwanza wavuta sigara wote wanafanana na "wadudu" wa R-Chuga!Punguzo hasira mzee... Wauwawe tena 😧😧 basi ziuzwe Shemu elekezi au maduka yake yasihusishe bidhaa nyingine na watengewe maeneo yao peke yao maana wana haki sawa na wasio wavutaji kikubwa wasiwakere wasio wavutaji
Barack Obama ni mmoja kati ya wavutaji almaarufu ukisema wote kama wadudu unafeli pakubwaWauwawe ni chombezo tu.Wavute kwa adabu na kufuata sheria.Kwanza wavuta sigara wote wanafanana na "wadudu" wa R-Chuga!
Kwa hiyo jambo la hovyo likifanywa na unayemuona maarufu linakuwa jema?You've failed the big time,fella!Barack Obama ni mmoja kati ya wavutaji almaarufu ukisema wote kama wadudu unafeli pakubwa
Unasema..?Wajeuri sana wavuta sigara.Watiwe adabu tu.Sigara ya shilingi mia mbili lakini hataki kuvuta mbali na umma halafu anaishika kwa madoido utadhani anakula biriani!Wauwawe kabisa!Mbona bia inauzwa aghali na hatutambi?
Wauwawe hadi wafe.Unasema..?
Hapo point yangu ni kwenye kuwafananisha wavutaji na wadudu... Sasa mfano Obama anafanana na wadudu kweli... Anyways mi siungi mkono hoja ukizingatia kodi ya sigara inachangia pakubwa kwenye mapato ya nchiKwa hiyo jambo la hovyo likifanywa na unayemuona maarufu linakuwa jema?You've failed the big time,fella!