Serikali iweke sheria kali kwa wenye tabia ya kuvuta sigara hadharani ili tuepukane na maradhi sababishi kutoka kwa wavutaji sigara hadharani

Hapo point yangu ni kwenye kuwafananisha wavutaji na wadudu... Sasa mfano Obama anafanana na wadudu kweli... Anyways mi siungi mkono hoja ukizingatia kodi ya sigara inachangia pakubwa kwenye mapato ya nchi
Hata cocaine ina mapato makubwa.Na kukataa mtu asifananishwe na mdudu huna tofauti na kugoma kwamba kinyesi cha unayemtetea hakinuki sawa na chako.
 
Sigara ni bidhaa halali inatambulika na kuuzwa popote na kukatwa kodi... Haya Io cocaine ???
 
Izi sigara bana kuna jamaa angu mmoja alikuwa apendi kabisa moshi wa sigara nilipotezana nae miezi mitatu nakuja kutana nae anavuta winston sport ile mbaya mbovu ni toa sigara weka sigara na anaivuta vizuri kinoma nikabaki hoi, mi sigara binafsi nikivuta ata pafu nasikia kichefu chefu bora bangi japo sio mraibu ninappjiskia tu
 
Kodi ya sigara ndo inanunua mavi8 😂😂😂😂, nenda tabora kipindi hiki uone malori yanavyosomba tumbaku pale mkwawa leaf, na ukisema utenge maduka ya kuuza sigara tuu itakua unyanyapaa guess what, wavutaji wataacha kuvuta, wakulima wataacha kulima, serikali itakosa mapato, TUTASHINDWA KUNUNUA MAVI8 NA POSHO ZA VIKAO 😭
 
Nadhani Serikali Iweke Adhabu Kali kwa Yeyote Atakaevuta Sigara hadharani. Maana haiwezekani Tuleteane Magonjwa ya cancer za Mapafu kwa Ajili ya Starehe ya Mtu mwingine. Mtu ananunua Sigara Dukani Anawashasha hapo hapo halafu anapuliza Moshi watu watu wengine wanavuta limoshi lake.

Hii haijakaa Mahali pake. Na Nadhani Angalau Faini yake Isipungue chini ya 300,000 au kifungo Cha Miezi Sita Jela au vyote kwa Pamoja.... Ili iwe fundisho kwa muhusika na wengine wenye tabia kama hizo.

View attachment 2978544
Ishi na jali maisha yako wewee
 
Niserikali hii unayosema ibane wavutaji? Serikali iliyoshindwa kubana wezi wa mali ya umma iweze kupambana na watu walioamua kuungiza hela zao?

Wameacha kutoa elimu wanajifanya wanapitisha sheria. Aibu yao
 
Wavuta Sigara wanakera sana, yaani wao hudhani Dunia yote ni ya kwao.
 
Nadhani Serikali Iweke Adhabu Kali kwa Yeyote Atakaevuta Sigara hadharani. Maana haiwezekani Tuleteane Magonjwa ya cancer za Mapafu kwa Ajili ya Starehe ya Mtu mwingine. Mtu ananunua Sigara Dukani Anawashasha hapo hapo halafu anapuliza Moshi watu watu wengine wanavuta limoshi lake.

Hii haijakaa Mahali pake. Na Nadhani Angalau Faini yake Isipungue chini ya 300,000 au kifungo Cha Miezi Sita Jela au vyote kwa Pamoja.... Ili iwe fundisho kwa muhusika na wengine wenye tabia kama hizo.

View attachment 2978544
Samia hajawahi kusubiria 👇👇
Screenshot_20240501-124037.jpg
Screenshot_20240501-091126.jpg
 
Niserikali hii unayosema ibane wavutaji? Serikali iliyoshindwa kubana wezi wa mali ya umma iweze kupambana na watu walioamua kuungiza hela zao?

Wameacha kutoa elimu wanajifanya wanapitisha sheria. Aibu yao
Ni aibu kuona umejaza ujinga kichwani 👇👇
Screenshot_20240501-124037.jpg
Screenshot_20240501-091126.jpg
 
Nadhani Serikali Iweke Adhabu Kali kwa Yeyote Atakaevuta Sigara hadharani. Maana haiwezekani Tuleteane Magonjwa ya cancer za Mapafu kwa Ajili ya Starehe ya Mtu mwingine. Mtu ananunua Sigara Dukani Anawashasha hapo hapo halafu anapuliza Moshi watu watu wengine wanavuta limoshi lake.

Hii haijakaa Mahali pake. Na Nadhani Angalau Faini yake Isipungue chini ya 300,000 au kifungo Cha Miezi Sita Jela au vyote kwa Pamoja.... Ili iwe fundisho kwa muhusika na wengine wenye tabia kama hizo.

View attachment 2978544
Sorry here Cha Njombe is included?
 
Back
Top Bottom