Serikali iweke sheria kali kwa wenye tabia ya kuvuta sigara hadharani ili tuepukane na maradhi sababishi kutoka kwa wavutaji sigara hadharani

Hapo point yangu ni kwenye kuwafananisha wavutaji na wadudu... Sasa mfano Obama anafanana na wadudu kweli... Anyways mi siungi mkono hoja ukizingatia kodi ya sigara inachangia pakubwa kwenye mapato ya nchi
Hata cocaine ina mapato makubwa.Na kukataa mtu asifananishwe na mdudu huna tofauti na kugoma kwamba kinyesi cha unayemtetea hakinuki sawa na chako.
 
Sigara ni bidhaa halali inatambulika na kuuzwa popote na kukatwa kodi... Haya Io cocaine ???
 
Izi sigara bana kuna jamaa angu mmoja alikuwa apendi kabisa moshi wa sigara nilipotezana nae miezi mitatu nakuja kutana nae anavuta winston sport ile mbaya mbovu ni toa sigara weka sigara na anaivuta vizuri kinoma nikabaki hoi, mi sigara binafsi nikivuta ata pafu nasikia kichefu chefu bora bangi japo sio mraibu ninappjiskia tu
 
Kodi ya sigara ndo inanunua mavi8 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, nenda tabora kipindi hiki uone malori yanavyosomba tumbaku pale mkwawa leaf, na ukisema utenge maduka ya kuuza sigara tuu itakua unyanyapaa guess what, wavutaji wataacha kuvuta, wakulima wataacha kulima, serikali itakosa mapato, TUTASHINDWA KUNUNUA MAVI8 NA POSHO ZA VIKAO 😭
 
Ishi na jali maisha yako wewee
 
Niserikali hii unayosema ibane wavutaji? Serikali iliyoshindwa kubana wezi wa mali ya umma iweze kupambana na watu walioamua kuungiza hela zao?

Wameacha kutoa elimu wanajifanya wanapitisha sheria. Aibu yao
 
Wavuta Sigara wanakera sana, yaani wao hudhani Dunia yote ni ya kwao.
 
Samia hajawahi kusubiria πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Niserikali hii unayosema ibane wavutaji? Serikali iliyoshindwa kubana wezi wa mali ya umma iweze kupambana na watu walioamua kuungiza hela zao?

Wameacha kutoa elimu wanajifanya wanapitisha sheria. Aibu yao
Ni aibu kuona umejaza ujinga kichwani πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Sorry here Cha Njombe is included?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…