Serikali iweke tozo/Kodi kwenye mabanda ya mpira na vijiwe vya kupiga soga

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Serikali yangu tukufu chini ya daktari, jemedari Samia suluhu (PhD) iweke tozo kwenye mabanda ya kuonyesha mipira pamoja na vijiwe vya kahawa vya kubishana mpira na siasa asubuhi Hadi jioni.

Maeneo haya yamekua yana mkusanyiko wa watu wakiwa wanashabikia vitu vya kipumbavu, story zao hapo ni mambo ya simba na yanga, miziki ya singeli na siasi chafu.

Tunajua serikali yetu inapenda sana raia wake ndio maana inawaacha tu wakusanyike bila mpangilio, lakini kwasasa naomba kuwe na tozo kwenye maeneo hayo.

Tukiweka nguvu kwenye hivi vijiwe tunaweza kupata pesa nyingi sana kwani vijiwe ni vingi sana na ndio hulka ya watanzania kukusanyika hovyo kuanza kubishana vitu vya kipumbavu.

Nawasilisha kwenu serikali yangu tukufu, lazima tuwe wabunifu ili kujiongezea mapato zaidi.
 
Mkuu ile part Yako iliishia wapi mkuu, mbona kimya tunaisubiri kwa hamu kaka pliz tuna kiu ya burudani babah
 
Unafinywa na mmakonde
 
Attachments

  • IMG-20261006-WA0024.jpg
    IMG-20261006-WA0024.jpg
    53.6 KB · Views: 2
Hivi hawa wanaokusanyika huko huwa wanafanya kazi gani na saa ngapi? Unakuta mizee mingine bado ina nguvu za kufanya kazi lakini mchana saa sita imeishafika na kukusanyika kwenye vijiwe vya kahawa, bao, drafti, ule mchezo wa kete kama korokoro, vijana kwenye pool. Kazi wanafanya saa ngapi kama si kurutubisha umasikini?
 
Serikali yangu tukufu chini ya daktari, jemedari Samia suluhu (PhD) iweke tozo kwenye mabanda ya kuonyesha mipira pamoja na vijiwe vya kahawa vya kubishana mpira na siasa asubuhi Hadi jioni.

Maeneo haya yamekua yana mkusanyiko wa watu wakiwa wanashabikia vitu vya kipumbavu, story zao hapo ni mambo ya simba na yanga, miziki ya singeli na siasi chafu.

Tunajua serikali yetu inapenda sana raia wake ndio maana inawaacha tu wakusanyike bila mpangilio, lakini kwasasa naomba kuwe na tozo kwenye maeneo hayo.

Tukiweka nguvu kwenye hivi vijiwe tunaweza kupata pesa nyingi sana kwani vijiwe ni vingi sana na ndio hulka ya watanzania kukusanyika hovyo kuanza kubishana vitu vya kipumbavu.

Nawasilisha kwenu serikali yangu tukufu, lazima tuwe wabunifu ili kujiongezea mapato zaidi.
Hivi vijiwe hata mimi sivipendi.hawajadili mpira na siasa tu pia hujadili mambo ya hovyo ya watu.mikoa kama kigoma vijiwe ni vingi sana.kuanzia saa 1 wanakusanyika hadi usiku.huwa najiuliza wenzetu wanapataje pesa za kujikimu kimaisha.mtaa mmoja vijiwe lukuki ni janga lingine hilo.
 
Serikali ifanye jambo hapa
 
Hivi hawa wanaokusanyika huko huwa wanafanya kazi gani na saa ngapi? Unakuta mizee mingine bado ina nguvu za kufanya kazi lakini mchana saa sita imeishafika na kukusanyika kwenye vijiwe vya kahawa, bao, drafti, ule mchezo wa kete kama korokoro, vijana kwenye pool. Kazi wanafanya saa ngapi kama si kurutubisha umasikini?
Vijiwe vile ni story za kijinga tuu Hadi wazee wapo
 
Back
Top Bottom