comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Hizo ni akili timamu kabisa ni mawazo mazuriUkiacha umalaya hautakuwa unapoteza akili kiasi hiki. Acha umalaya.
Itawezekana tuu, lazima mtozwe kodi
Mziki utakushinda wew akil mbiliMkuu ile part Yako iliishia wapi mkuu, mbona kimya tunaisubiri kwa hamu kaka pliz tuna kiu ya burudani babah
Nyie manyumbu kazi yenu ni kuangalia connection tuu vichwa panzi nyieUnafinywa na mmakonde
Kaka ye mwenyewe kipepe, alituandalia party ya jf members kaka, sa ni kosa kuulizia au alikua anatukejeli𤣠au hana hela ya maandalizi , vijana bwanaMziki utakushinda wew akil mbili
Mtalipa zoteHiyo tozo mbona imeshawekwa kwenye luku
Hivi vijiwe hata mimi sivipendi.hawajadili mpira na siasa tu pia hujadili mambo ya hovyo ya watu.mikoa kama kigoma vijiwe ni vingi sana.kuanzia saa 1 wanakusanyika hadi usiku.huwa najiuliza wenzetu wanapataje pesa za kujikimu kimaisha.mtaa mmoja vijiwe lukuki ni janga lingine hilo.Serikali yangu tukufu chini ya daktari, jemedari Samia suluhu (PhD) iweke tozo kwenye mabanda ya kuonyesha mipira pamoja na vijiwe vya kahawa vya kubishana mpira na siasa asubuhi Hadi jioni.
Maeneo haya yamekua yana mkusanyiko wa watu wakiwa wanashabikia vitu vya kipumbavu, story zao hapo ni mambo ya simba na yanga, miziki ya singeli na siasi chafu.
Tunajua serikali yetu inapenda sana raia wake ndio maana inawaacha tu wakusanyike bila mpangilio, lakini kwasasa naomba kuwe na tozo kwenye maeneo hayo.
Tukiweka nguvu kwenye hivi vijiwe tunaweza kupata pesa nyingi sana kwani vijiwe ni vingi sana na ndio hulka ya watanzania kukusanyika hovyo kuanza kubishana vitu vya kipumbavu.
Nawasilisha kwenu serikali yangu tukufu, lazima tuwe wabunifu ili kujiongezea mapato zaidi.
Serikali ifanye jambo hapaHivi vijiwe hata mimi sivipendi.hawajadili mpira na siasa tu pia hujadili mambo ya hovyo ya watu.mikoa kama kigoma vijiwe ni vingi sana.kuanzia saa 1 wanakusanyika hadi usiku.huwa najiuliza wenzetu wanapataje pesa za kujikimu kimaisha.mtaa mmoja vijiwe lukuki ni janga lingine hilo.
Vijiwe vile ni story za kijinga tuu Hadi wazee wapoHivi hawa wanaokusanyika huko huwa wanafanya kazi gani na saa ngapi? Unakuta mizee mingine bado ina nguvu za kufanya kazi lakini mchana saa sita imeishafika na kukusanyika kwenye vijiwe vya kahawa, bao, drafti, ule mchezo wa kete kama korokoro, vijana kwenye pool. Kazi wanafanya saa ngapi kama si kurutubisha umasikini?