Aya bwana Lucas Mwashambwa atakuja kutoa ufafanuz soonSerikali itangaze kiwango cha ada tulipie
Serikali isijisifu ati inatoa elimu bure huku wazazi tunanunua hadi madawati ya watoto
Sasa mna maana gani kuendelea kusema "elimu bure"Kama utak kugharamia mtoto wako usizae, hadi lak 6 ya mtoto wako mwenyew ni ya kuanzia Uzi?
Huyo ananiogopa mnoAya bwana Lucas Mwashambwa atakuja kutoa ufafanuz soon
Dj tuletee stakehighHuyo ananiogopa mno
Hakuna chawa wa ku argue na mimi
acha propaganda amna shule wanalipa laki sitaShule zote
acha propaganda hakuna anelipa hizo cost zote, wewe kama umekosa hoja kalaleHujui kuwa shule wanafunzi wanaenda na meza na kiti 150k
Pesa ya mlinzi 100k
Pesa ya chakula na uji 150
Pesa ya laboratory 100k
Tuition 100k
Pesa ya chako 40k
nimeshaconfirm hakuna anaelipa hio pesa kwenye shule yoyote punguza propagandaSema wanalipia sh ngap