SoC04 Serikali iwekwe sera itakayo saidia uwepo wa mshauri wa saikolojia Katika idara za utumishi kwenye taasisi zote za umma na sekta binafsi

SoC04 Serikali iwekwe sera itakayo saidia uwepo wa mshauri wa saikolojia Katika idara za utumishi kwenye taasisi zote za umma na sekta binafsi

Tanzania Tuitakayo competition threads

sir Matiku

New Member
Joined
May 17, 2023
Posts
3
Reaction score
3
Kiukweli watumishi watumishi wa umma na wale wa sekta binafsi wanakubwa na changamoto nyingi sana za kiutumishi,kijamii,kisiasa na kiuchumi pia suala hili serikali isipolipa uzito mapema matokeo yake itakuwa na madhara makubwa sana haswa Kwa watumishi wa umma ambao changamoto hii ni kubwa sana kwao kwani wanakutana na mikikimikiki ya kutosha katika utumishi wa na hiyo kupelekea Ari ya utendaji wao wa kazi kushuka Kwa kiwango kikubwa na kupata msongo wa mawazo mwisho wa siku wakapata magonjwa ya akili kama vile Sonoma na mengineyo.

Udhalilishaji,lugha za kejeli na muingiliano wa siasa na taaluma ndo mambo mtambuka ambayo ni chanzo kikuu Cha mambo yote hasa Kwa watumishi wa sekta ya afya ambao ndo tunategemea watoe huduma Kwa raia ambao wapo katika makundi mbalimbali wakiwemo ambao wanachangamoto za afya ya akili kama tusipo kuwait na sera wezeshi Kwa watumishi wa umma sekta ya afya mwisho wa siku tutakuwa na madaktari na wauguzi wabobezi katika afya ya akili ambao nao wanachangamoto ya afya ya akili hapo nani atalae mtibia mwenzie

Madhalani unakuta siasa zinaingilia masuala ya kitaaluma na hiyo inapelekea watumishi kufanya kazi Kwa shinikizo mwisho wa siku wanafanya kazi huku wakiwa na kitete matokeo yake Kuna kuwa ba mfumo mbovu wa utoaji wa huduma katika sekta za umma

Pia changamoto nyingine ni suala la familia na kazi,unakuta mtu anafanyiq kazi Dodoma familia yaani make na watoto wapo singida mwisho wa siku anafanya kazi ilimradi siku ziende ifike wikendi akaone familia serikali Ina haja ya kibadili sheria ili wanando ambao ni watumishi iwe na nafuu kwao wawezo kuwa huru na familia zao

Mwisho serikali itenganishe kati ya siasa na taaluma unakuta diwani ambae ni darasa la saba kakini anatoa maelekezo ya kitaaluma Kwa mtu ambae yeye taaluma hiyo ameisomea na anafanya maamuzi kufuata miongozo ya taaluma husika
 
Upvote 3
Back
Top Bottom