Serikali izibane hotel zote za kulala Tanzania zinaibia wateja

Wewe ni mbumbumbu... bora ungenyamaza tu ...
 
Uko sahihi.....

Wanasheria kazi hii Hapa.....
Kujitangaza Sheria hukataza lakini.kesi Kama hii akitokea wakili anaipeleka mhakamani jina lake litapaa Dana kila Kona ya nchi sababu ni.kesi inayogisa watu wenginmno ndani na nje ya nchi.

Sababu ziko nchi zingine Zina mahoteli majizi Kama hizi za Tanzania.Itakuwa kesi kubwa ambayo yaweza stua dunia ikafuatiliea hata na vyombo vya habari vya kimataifa Kama BBC ,CNN nk sababu maamuzi yake yaweza badili mwelekeo wa utendaji wa hoteli Duniani.

Mawakili nchi zingine waweza lianzisha nao kwenye nchi zao

Hii kesi ikitinguliwa jaji anatakiwa mweledi sababu maamuzi yake yataingia kwenye vitabu vya Sheria vya kimataifa na kesi nyingi baadaye yeye atakuwa ndie refference
 
Hoteli hawakuchaji based on how many hours per day, wanakucharge from check in time to check out time. Ambazo tayari huwa wameshaziweka, na kama ni mfanyaji booking mitandaoni, hizi details zipo wazi.

Sasa kama wewe umeenda hotel saa 10 alfajiri, na hutaki kuachia chumba ikifika saa nne, basi bora ukae macho tu nje kwenye gari yako.
 
You are not only pretentious and useless.

You are a liar too.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hukupelekwa na wazazi wako kusoma kiingereza kusomea matusi.Kazi ya lugha ya kiingereza sinkutukania watu.Maskini akipata matako hulia mbwata .Kiingereza kimekupata maskini wewe
 
Samahani Mkuu tafsiri yako ya siku ni masaa 24 au 12?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…