Serikali izibane hotel zote za kulala Tanzania zinaibia wateja

Serikali izibane hotel zote za kulala Tanzania zinaibia wateja

Daaah
Kweli upumbavu ni mzigo sana.
Kwahiyo ukizaliwa March tubadili mwaka uanze March
Wiki ianze J5
Acheni ujinga wenu. Kimsingi kufika hiyo saa 4 asubuhi ni feva tu. Siku inaisha saa 6 usiku
Ukiingiia hotelini ukasema nalala kwa siku moja Tar 15.12.2019 unapaswa uishi hotelini hapo kwa siku hiyo tuu. Sasa ukiingia saa 4 usiku inapaswa saa 6:01 ulipe upya lakini wanakupa feva mpaka kesho saa 4 asubuhi halafu unaleta matapishi hapa.
Pumbavu sana
Wewe ni mbumbumbu... bora ungenyamaza tu ...
 
Uko sahihi.....

Wanasheria kazi hii Hapa.....
Kujitangaza Sheria hukataza lakini.kesi Kama hii akitokea wakili anaipeleka mhakamani jina lake litapaa Dana kila Kona ya nchi sababu ni.kesi inayogisa watu wenginmno ndani na nje ya nchi.

Sababu ziko nchi zingine Zina mahoteli majizi Kama hizi za Tanzania.Itakuwa kesi kubwa ambayo yaweza stua dunia ikafuatiliea hata na vyombo vya habari vya kimataifa Kama BBC ,CNN nk sababu maamuzi yake yaweza badili mwelekeo wa utendaji wa hoteli Duniani.

Mawakili nchi zingine waweza lianzisha nao kwenye nchi zao

Hii kesi ikitinguliwa jaji anatakiwa mweledi sababu maamuzi yake yataingia kwenye vitabu vya Sheria vya kimataifa na kesi nyingi baadaye yeye atakuwa ndie refference
 
Hoteli hawakuchaji based on how many hours per day, wanakucharge from check in time to check out time. Ambazo tayari huwa wameshaziweka, na kama ni mfanyaji booking mitandaoni, hizi details zipo wazi.

Sasa kama wewe umeenda hotel saa 10 alfajiri, na hutaki kuachia chumba ikifika saa nne, basi bora ukae macho tu nje kwenye gari yako.
 
You are not only pretentious and useless.

You are a liar too.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hukupelekwa na wazazi wako kusoma kiingereza kusomea matusi.Kazi ya lugha ya kiingereza sinkutukania watu.Maskini akipata matako hulia mbwata .Kiingereza kimekupata maskini wewe
 
Daaah
Kweli upumbavu ni mzigo sana.
Kwahiyo ukizaliwa March tubadili mwaka uanze March
Wiki ianze J5
Acheni ujinga wenu. Kimsingi kufika hiyo saa 4 asubuhi ni feva tu. Siku inaisha saa 6 usiku
Ukiingiia hotelini ukasema nalala kwa siku moja Tar 15.12.2019 unapaswa uishi hotelini hapo kwa siku hiyo tuu. Sasa ukiingia saa 4 usiku inapaswa saa 6:01 ulipe upya lakini wanakupa feva mpaka kesho saa 4 asubuhi halafu unaleta matapishi hapa.
Pumbavu sana
Samahani Mkuu tafsiri yako ya siku ni masaa 24 au 12?
 
Back
Top Bottom