Serikali izibane hotel zote za kulala Tanzania zinaibia wateja

Nani kakudanganya nauli ya kwenda posta unalipa 400 hata Kama hufiki posta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama leo tar 14/12 nikiingia hotelini ..nitajaza Arrived 14/12 na nitatoka 15/ 12 ila kama nitaingia saa nane usiku tarehe nitakayojaza ni 15/12 na nitatoka 16/12 kwahiyo huyo muhudumu atakaye kuja kunigongea saa nne asubuhi ya tarehe 15/12 napaswa kumuonja kibao kabla hajamuita manager wao kuniomba msaamaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwezo wako wa Kuchanganua mambo ni mdogo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha upopoma dunia nzima mda wa kuachia chumba hautakiwi zidi saa 6 mchana so saa 4 asubuh au saa 2 ni sawa na hiyo ni standard ya dunia labsa ufikie hostel au airbnb hapo taratibu tofauti check quora hapo.....unadhan serena, double tree, wapo tayari haribu reputation wakati asilimia 80 ya wageni wanatoka nje.....https://www.quora.com/Why-do-hotels-have-a-check-in-check-out-time
 
Man, hiyo sio Tanzania tu! Tena kwa baadhi ya nchi kuna hadi check-in time! Chukulia Singapore kwa mfano (labda iwe wamebadilisha), huwezi kwenda asubuhi halafu ukapata chumba, unless uwe ume-book a day in advance au kipindi biashara ni mbovu! Sasa wakati check-in kwa kawaida ni mchana, check-out inakuwa kabla ya mchana! Hata kwa Dubai inakuwa hivyo hivyo, ingawaje unaweza kukuta few exceptions. Ki ukweli inauma, lakini inaelekea ndio mfumo wenyewe! Especially kwa maeneo ambayo yanakuwa na wageni wengi kama ilivyo kwa Dubai, Singapore au Bangkok, nadhani lengo ni kuwapa muda wa kutosha kuandaa chumba kwa mgeni anayefuata, na ndio maana hawafanyi early check-in vile vile; kwa sababu huo ni muda wa kuandaa chumba kwa mgeni ajae! Mara nyingi check-out haizidi saa 6.
 
Kwani umelazimishwa kulala huko? Kalale kwa ndugu zako au stand au airport ! Wacha hizo bana ! Hiyo ni business!
 
Primitive ideas
I confirm to my self you are the most primitive individual ever ! You dont even know business practices! What you are trying to propagate won't be put to effect ever !
 
Pole Sana ulipolewa wakakufira ndio umeamua kuwaletea bifu? ....jamaa wako vizuri sana! Tuliza **** yako ya nyuma
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumba ya karne hii. Hivi wewe umekanyaga hata darasa moja kweli? Umeandika ugoro mtupu hata haueleweki.
 
I confirm to my self you are the most primitive individual ever ! You dont even know business practices! What you are trying to propagate won't be put to effect ever !
"Kwani umelazimishwa kulala huko? Kalale kwa ndugu zako au stand au airport ! Wacha hizo bana ! Hiyo ni business!"
Rudia kusoma ulicho comment hapo juu, ndio ujue jinsi ulivyo mjima wa karne.
 
"Kwani umelazimishwa kulala huko? Kalale kwa ndugu zako au stand au airport ! Wacha hizo bana ! Hiyo ni business!"
Rudia kusoma ulicho comment hapo juu, ndio ujue jinsi ulivyo mjima wa karne.
Sihitaji kurudia maana najua nilicho kiandika !
 
Nyumba ya kulala wageni ni tofauti na nyumba ya kupanga wageni.
Kwahiyo tunachokilipia ni usiku wa kulala tuu ambao wanaamini mpaka saa nne utakua umeshaamka.
Ndio maana hata ukichukua chumba saa 12 asubuhi utakirudisha kesho yake saa nne asubuhi.

Ila mleta uzi umeleta hoja nzuri na niyakufanyiwa kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiingia saa 7 usiku, unatakiwa utoke saa ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…