Serikali izibane hotel zote za kulala Tanzania zinaibia wateja


Umetoa hoja muhimu sana na wengi hawafahamu. Unaingia kwenye hoteli saa 8:00 usiku (2:00am) asubuhi kabla ya saa 4:00 nne asubuhi (10:00am) unaamshwa ati ulipe tena kama unataka kukaa kwa siku nyingine?
 
Umetoa hoja muhimu sana na wengi hawafahamu. Unaingia kwenye hoteli saa 8:00 usiku (2:00am) asubuhi kabla ya saa 4:00 nne asubuhi (10:00am) unaamshwa ati ulipe tena kama unataka kukaa kwa siku nyingine?
So Unfair...!
 
Huko Nigeria [emoji1184] ulienda kwa Joshua kukuombea upone maradhi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hapa leo naona una hoja. Umezungumza jambo ambalo linamaslahi ya wote. Nadhani wanapaswa kuweka check in na check out kisheria na sio kusema 24hrs, maana kama ni 24 hrs chumba kitafanyiwa usafi saa ngapi?
 
Umeongea jambo la msingi sana, kuna siku nimetoka safarini nimeingia Dsm saa 9 usiku pale Shekilango nikaamua nitafute Hotel pale karibu kutokana na vitu vya thamani nilivyokuwa navyo kwa usalama zaidi.
Nimelala saa kumi, nimekuja kushtuka saa tatu na nusu mhudumu anakuja kugonga Mda umeisha aisee yule mdada hatonisahau kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sawa mmiliki wa lodge asante kwa mfano je ukiingia SAA saba usiku ianatakiwa utoke SAA sita usiku sio SAA NNE asubuh si ndio?
 
Hotel zina masharti yake kwa mfano hotel za kimataifa nililala nyingi tu na moja ya mwisho nakumbuka ilikuwa Radisson Blu Edwardian Heathrow
Kuanzia saa 8mchana ni siku mpaka saa 6 mchana siku ya pili ndio unaachia chumba
Hii ni kwa ajili ya usafi ila kama utawajulisha na kuomba tuseme saa moja unaweza kukubaliwa
Sheria hizo kwenye hotel nyingi kubwa ni saa 6 mchana na sio saa 4 kama hotel zetu huko
Yaani mtu umechoka umeingia usiku unaamua kutega saa ikuamshe tena mapema ili uachie chumba huo sio uungwana kabisa
Sijui nani alileta hii ya saa 4 hata mimi naipinga


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ungefanya tu kuficha ujinga wako...
 
Tunaomba tupe darasa wewe ambaye ni mwelewa uki check in saa kumi jioni leo tarehe 14/12/2019 unatakiwa kisheria ucheck out lini endapo utalala siku moja.
 
Kuna haja ya kufanya marekebisho ya utaratibu wakutoza malipo.

Nashauri lessen za biashara ya hotel na nyumba za kulaza wageni zitolewe Kwa maelekezo kua malipo yafanyike Kwa saa na sio Kwa utamaduni (wala sidhani Kama ni sheria) ya kulipa Kwa siku. .i.e Kwa tarehe.

Wahusika hapa ni Manispaa na halmashauri.
 
Ni Majizi kweli Kuna siku nimefika mwanza saa 8 usiku nikaenda hotelini ... Asubuhi nagongewa mlango niachie chumba hata usingizi haujaisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulibugi kwenye kujisajili wakati wa kuandika tarehe maana unaandika tarehe ya kuingia na ya kutoka sasa weww ilikuaje ukaandika kuingia tarehe kumi na kutoka tarehe kumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saa nane utaenda wapi itabd ulipie tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okee na ukiingia SAA 7au 8 usiku inakuwaje..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…