Serikali izibane hotel zote za kulala Tanzania zinaibia wateja

Nilishawahi kuwachana hotel moja Dom hapo mpka meneja kaja nikamuelewesha akaelewa

Nikamwambia nimeingia saa sita usiku Sasa hi saa nne teyar n masaa 24 ??? Akajibu bado ,nikamwambia kwa siku Ina masaa mangapi akajibu 24 ,nikamtwanga jingne kwa hyo mm bado sijatimiza masaa 24 akajibu ndio nikamwambia Sasa subiri sita usiku ndio uje unidai chumba chako akawa mpole tu akasepa zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiwa kila mtu atatoka kulingana na muda anaoingia basi wahudumu itabidi wawe kazini kwa masaa 24 ili vyumba visafishwe mara mtu anapotoka. Hii ni ngumu kufanyika.

hilo halimhusu mteja, mteja yeye haki yake ni kuwa na chumba alicholipia kwa siku
Hayo mengine ya mumiiki
 
Je ukisema unalipia siku tatu je

Sent using Jamii Forums mobile app

Mchana wa siku ya pili na ya tatu watakuja kusafisha ukiwa haupo.

Kama upo ndani watakugongea kati ya saa 4 asubuhi na saa 6 mchana kukujulisha kutaka kusafisha.

Siku ya 4 unatakiwa uwe umecheck - out saa 6 mchana.

Hiyo ni general rule ya hoteli zote za maana unacheck-ou saa 6 mchana wa siku ya mwisho.

Yaani hapa nazungumzia Sea Cliff, Ramada na nyingine za maana..
 
Jitazame aisee..sijui umeandika nini hapa
 
Kuna siku nilisafiri kwenda singida nikafika saa 10 na nusu usiku....nikawaza nichukue lodge ya nini wakati saa nne nitatolewa....nikalala zangu kwenye gari tu.
🤣🤣🤣🤣🤣

Ulifuata utaratibu na ukutaka malumbano mkuu.
 

we nd pumbavu grade A kabsa
 
Hiyo ni general rule ya hoteli zote za maana unacheck-ou saa 6 mchana wa siku ya mwisho.

Yaani hapa nazungumzia Sea Cliff, Ramada na nyingine za maana..
Hizo hoteli zako za unazoita za maana Tanzania mfano umeingia check in Leo saa kumi usiku check out time itakuwa saa ngapi?
 
Umeniongezea elim mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi tunaumizwa sana.Watanzania mmeanza kuamka sasa sijajua la wamiliki wa mitandao ya simu wamefikia wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Acha ujinga mkuu nikisema nalala kwa siku moja maana yake saa 24
 
Hii bonge la point
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi gani nyingine umeenda mkuu,
Nimewahi kusafiri Dubai,Hongkong, China,Singapore,India, Malaysia,Japan,Ireland. France utaratibu ni kama hapa Tanzania,
Nimetamani huo utaratibu wa Nigeria kama kweli upo.
Marekani kwa uzoefu wangu hotel nyingi saa tano asubuhi wanaanza kufanya usafi. Unaondoka chumbani saa tano asubuhi, hotel nyingine saa sita. Hiyo ni checkout time.

Bila kujali umeingia saa tisa, kumi, kumi na moja au kumi na mbili asubuhi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna hotel na guest house hotel 🤣🤣🤣 nadhni mtoa mada unazungumzia guest house hotel.
 
Mwizi Ni mwizi hata awe mmarekani ,mzungu nk Huu Ni wizi ninaoupigia kelele humu sijali unafanywa na mtanzania au mmarekani.

Kuna vitu vinatakiwa kubadilishwa hata dunia nzima huo wizi unaofanyika Marekani wamarekani na wanasheria wao wanatakiwa kuuvalia njuga .Ili wizi wa wenye mahoteli ya kulala ukomeshwe popote duniani.

Wapugania Hali za binadamu wasiwe tu wanavalia njuga haki tu za kisiasa na kubweka Demokrasia .Hii ya kuibiwa mteja wa hoteli Ni haki pia ya binadamu .NGO za haki za binadamu za ndani na kimataifa hili swala wanatakiwa kulivalia njuga popote duniani.Waifanye agenda ya kimataifa ya kupigania Hali za wateja wa hoteli
 
Kuna hotel na guest house hotel 🤣🤣🤣 nadhni mtoa mada unazungumzia guest house hotel.
Hii mada iko juu ya uwezo wa kichwa Chako na exposure yako pisha wenye akili na exposure kubwa wajadili
 
Hio ni kweli kabisa ila mmiliki wa kibongo atakujibu "Jenga yako ulale unavyotaka" japo unajaribu kutetea haki yako.
Unajua its high time Tanzania tunatakiwa tuwe na consumer protection board. Iwe kama nchi za ulaya tu. Huku kwetu wateja tunaonewa kwa mengi sana.

Daladala mjazane kama mbuzi ila mnalipa nauli sawa, mitandao ituibie hela zetu inavyojisikia, hotel ndio kama hivyo na mengineyo mengi tu. Ati unanunua jagi la umeme unapewa warranty ya week moja tu likifa shauri yako 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…