Serikali izibane hotel zote za kulala Tanzania zinaibia wateja

Unaweza kwenda guest house inayolipisha kwa masaa pia.

Hoteli zinahitaji muda fulani kubadili shuka, kufanya usafi etc.

Kwa hukubwatu wanafanya usafi kuanzia saa sita moaka saa tisa. Hivyo muda huo inabidi uwaachie chumba wafanye usafi.

Au unataka kulala kwenye kitanda chenye shuka zenye manii ya mtu mwingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakisafisha unawapisha that is not a big deal wakimaliza usafi unarudi kumalizia masaa yako yaliyobaki.mfano uliingia SAA kumi usiku wao wanasema lazima saa nne uwaachie wasafishe sio kesi waweza vumilia kukatiza usingizi wasafishe wakimaliza unarudi kutandika usingizi wako Hadi masaa yako 24 yakamalike

Vinginevyo wasubiri umalize masaa yako 24 ya kukamilisha siku yako ndio wasafishe
 
Hii mada iko juu ya uwezo wa kichwa Chako na exposure yako pisha wenye akili na exposure kubwa wajadili
Wewe ndio hauna exposure ungeweka bayana kwamba ni guest house zile za kuwekewa ndala za Simba na yanga kuliko kujificha kwenye kichaka Cha hotel ,kwasababu hoteli zote kubwa Zina opperate kwa mfumo wa masaa 24, muda uliocheck in ndio utacheck out upo nyonyo.
 
Ulichoandika unakielewa mwenyewe.Narudia hi mada iko juu ya uwezo wa kichwa Chako pisha wengine
 
Mi ndo mana nikiona sa sita hii hapa naenda kuacha mizigo reception naenda bar nakesha asubuhi sa mbili tatu nikirudi natwanga breakfast sa nne hiyo.
mkiamshwa tu ndo naandika kuingia hiyo tutaonana kesho sa nne hela yangu inaisha vizuri tu.
 
Kusafisha hata kuwakataza unaweza.

Kama umechukua chumba siku inayofuata pia.

Vinginevyo, unaweza kuwa unalalamika gari lako linatumia mafuta sana.

Wakati wewe mwenyewe umechagua kununua Range Rover wakati bajeti yako ni ya Vitara.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulichosema ni kweli.. Tena kwenye hotel kama serena ya pale karatu... Hata ukizidisha lisaa limoja au mawili hawana shida.. Kwaiyo unaweza ukakaa masaa 24 adi 26

😀ont folo folo me wizout ene bikoz:
 
Unaelewa ulichokiandika?? Means anayeingia saa 6:01 usiku anatakiwa atoke saa 6:01 usiku si ndiyo?? Kwa kuwa ndiyo siku nyengine right? Umejaribu kuhesabu ni masaa mangapi atakaa hapo hotelini? Kama sio 24 ambayo ni siku moja nzima ULIKIMBIA HESABU AU?asa unatofauti gani na mtoa mada?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya hivi mkuu, ukifika lodge late night, patana na mhudumu kabisa, kwamba kwa muda huo ulioingia huwezi kuamka na Kutoka saa nne,

Lodge ni nyingi siku hizi na hazina wateja Kutokana na mdororo wa biashara, mhudumu hawezi kukataa, na kama akikataa unatafuta lodge nyingine itakayokubali ombi lako,
Mbinu hii nimeitumia na kufanikiwa , maana katika mihangaiko yangu, imenifanya niwe naingia destinations zangu usiku mwingi na huwa sipendi kuamka mapema siku inayofata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haiwezekani hiyo kitu yaani niingie SAA 10 alfajiri wanitoe SAA 5 asubuhi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Muda WA kubadili shuka nikichukua wiki nzima shuka hazibadiiishwi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani kwa uzoefu wangu hotel nyingi saa tano asubuhi wanaanza kufanya usafi. Unaondoka chumbani saa tano asubuhi, hotel nyingine saa sita. Hiyo ni checkout time.
Bila kujali umeingia saa tisa, kumi, kumi na moja au kumi na mbili asubuhi.
They are thieves.So you want American thieves to be exempted?
 
Tunazungumzia 24hrs na sio siku
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hukuwa na hoja yoyote na huyo meneja alikuhurumia tu. Nyumba za kulala fomula ni ''night/s you spend''.
 
Mkuu kuna watu wanaingia saa saba usiku lakini ikifika saa nne asubih wanataka urudishe chumba na ni ndani ya siku hiyo hiyo
 
Ukifikiri kwa kina , kuna kitu cha kufanya, ila ukikurupuka utatukana.
 
Hukuwa na hoja yoyote na huyo meneja alikuhurumia tu. Nyumba za kulala fomula ni ''night/s you spend''.
Iko wapi hiyo Sheria? Per night kwani kila mtu mwanga?.Wanachaji per day yenye 24 hours sio per night ingekuwa per night wangeanza ku check in watu kuanzia saa moja jioni na ku check out saa 12 alfajiri.Ndio maana kwenye kitabu Cha check in unaandika tarehe ya kuingia na tarehe ya kutoka
 
Tatizo hata ukilipa hiyo saa sita usiku saa nne asubuhi wanakutimua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…