Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,146
- 5,520
Sasa hao 1eleven ya Asec wanaitwa kwenye timu zao za Taifa 😀?Kweli kabisa ukiangalia Asec au Berkane na wengineo unakuta karibia first eleven yote ni wazawa na bado wanacheza mpira mzuri tuu, Simba na Yanga zimejaza maforeigner watupu alafu tunataka tuwe na timu ya taifa nzuri!!
Tusilamishe kumkamua maziwa ng'ombe tusiyemhudumia.
Serikali inachangia nini kukuza vipaji? Serikali Ina hata football academy Moja?.