Serikali izifute Simba na Yanga, hatujachelewa

Kweli kabisa ukiangalia Asec au Berkane na wengineo unakuta karibia first eleven yote ni wazawa na bado wanacheza mpira mzuri tuu, Simba na Yanga zimejaza maforeigner watupu alafu tunataka tuwe na timu ya taifa nzuri!!
Sasa hao 1eleven ya Asec wanaitwa kwenye timu zao za Taifa 😀?
Tusilamishe kumkamua maziwa ng'ombe tusiyemhudumia.

Serikali inachangia nini kukuza vipaji? Serikali Ina hata football academy Moja?.
 

Una wazo zuri. Ila binafsi ningetamani sana kuona kila Mji/Wilaya/Mkoa/Jiji, nk kunakuwa na uwanja/viwanja bora kabisa na rasmi vya mpira wa miguu vya Serikali/binafsi, na pia kunakuwepo na timu zake za mpira wa miguu.

Hivyo kwa mfano wa Jiji la Dar, kungekuwa na timu ya Dar City (Yanga/simba) na Dar United (Simba/Yanga). Na mashabiki wa timu hizi wangekuwa ni wale wa Dar tu! Ukienda Mbeya/Tanga/Arusha/ Mwanza/, nk. nako kunakuwepo na timu za aina hiyo hiyo.

Hii ingetuondolea huu Uyanga na Usimba uliotamalaki kati yetu.
 
Hasa yanga wanakusanya waimba mziki wa congo wanadai ni wachezaji matokeo yake watu wameitwa team ya taifa wao wapo avic wanafanya mazoezi ya kuimba
 
Nimesikia mtu akisema ni rahisi kuifuta CCM kuliko kuifuta Yanga au Simba ni kweli? Na kwanini?
 
Sasa hao 1eleven ya Asec wanaitwa kwenye timu zao za Taifa [emoji3]?
Tusilamishe kumkamua maziwa ng'ombe tusiyemhudumia.

Serikali inachangia nini kukuza vipaji? Serikali Ina hata football academy Moja?.

Hawaitwi timu ya taifa, lakini wanaonesha vipaji vyao alafu wanauzwa ulaya, sisi vipaji vyetu vitaonekana wapi ikiwa wanaonekana uko nje ni wakina Sakho na Banda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…