Umejiuliza tutapata wapi fedha za kulipa kama uchumi wetu uko hatarini kuporomoka?
Kuanzia jumatatu mpaka alhamisi siku nne tu yatari kazi 281,000 zimepotea. Uchumi ni 80% unategemea ununuzi Service sector sasa kama watu hawatakuwa na kazi kila kitu kinaporomoka. Kuazia kodi, maduka, utalii, mikopo ......
Inabdidi serikali uchukuwa mkopo mkubwa wa muda mrefu kwa riba ndogo. Riba sasa zinaenda 2%-3% lakini zitapanda kwasababu wakopaji wataongezeka hasa kampuni kubwa. Vilevile serikali nyingi zitaweka vikwazo kwa nchi za nje kukopa maana hata wenyewe wataanza kuhitaji pesaUmejiuliza tutapata wapi fedha za kulipa kama uchumi wetu uko hatarini kuporomoka?