johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwakweli yani wanachekesha sanaViongozi wa Tanzania ni mbumbumbu sana. Vitu kama hivi vinafanywa kisomi na sio kwa force. Hivi wakikushusha bei ya gas [emoji618]️ ule mtungi mdogo ukawa 12k na unaofuata ukawa 25k kuna mtu atatumia kuni na mkaa???.
Huko vijijini wana uelewa wa kutumia gas?? Wataweza kujaza gas kwa 25k na 57k??. Watu hawawezi kuacha kutumia kuni na mkaa kimasihara hivyo. Tengenezeni misingi mizuri kwanza ili watu waamie wao kwa hiari, shusheni bei za gas
Itachukua miaka mingi sana kufanikiwa kutotumia nishati itokanayo na miti kwaajili ya kupikia na pengine mambo yote.
Heri ingeanzishwa kampeni ya kupanda miti kuliko kukataza matumizi ya kuni ndani ya miezi sita ijayo.
Kama jpm angekuwepo sawa sio huyo bi tozo asiyejua hili wala lileItachukua miaka mingi sana kufanikiwa kutotumia nishati itokanayo na miti kwaajili ya kupikia na pengine mambo yote.
Heri ingeanzishwa kampeni ya kupanda miti kuliko kukataza matumizi ya kuni ndani ya miezi sita ijayo.
Mbezi Beach wameanza tandaza mabomba ya gesi, kuanzia June gesi yakupima, ni wewe ni milioni yako kuunganishiwa mfumo kg 1 1550 ambapo mtungi wa KG 6 utaupata kwa 9300 tuGesi itauzwa sh ngapu na kujaza sh ngapi??Wanachezaa