Serikali: Katika miaka 5 iliyopita tumejenga Viwanda 8,000 vingi vikiwa mkoa wa Pwani

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema katika miaka 5 iliyopita serikali imeweza kujenga viwanda 8000 vingi vikiwa mkoa wa Pwani ambalo ni eneo la kimkakati.

Msigwa amesema hayo katika mkutano wake na waandishi wa habari mjini Iringa leo.

Chanzo: TBC
 
..viwanda vinamilikiwa na serikali au watu binafsi?

..vimetoa ajira za kudumu ngapi, na vimelipa kodi kiasi gani?

..pia ratio ya walioajiriwa vs walioingia ktk soko la ajira ikoje?
 
Maccm YAMEKUBUHU kwa uongo. Cha ajabu hajui idadi ya walioajiriwa katika hivyo viwanda HEWA!!!

Msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema katika miaka 5 iliyopita serikali imeweza kujenga viwanda 8000 vingi vikiwa mkoa wa Pwani ambalo ni eneo la kimkakati.

Msigwa amesema hayo katika mkutano wake na waandishi wa habari mjini Iringa leo.

Source: TBC
 
..viwanda vinamilikiwa na serikali au watu binafsi?

..vimetoa ajira za kudumu ngapi, na vimelipa kodi kiasi gani?

..pia ratio ya walioajiriwa vs walioingia ktk soko la ajira ikoje?
Kwa kuanzia elewa tu Magufuli kaacha viwanda 8000!
 
Msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema katika miaka 5 iliyopita serikali imeweza kujenga viwanda 8000 vingi vikiwa mkoa wa Pwani ambalo ni eneo la kimkakati.

Msigwa amesema hayo katika mkutano wake na waandishi wa habari mjini Iringa leo.

Chanzo: TBC
Labda kama amejengewa mamako. Vijana wetu wasingekuwa wanahangaika mitaani kwa kukosa ajira.
 
Kwa kuanzia elewa tu Magufuli kaacha viwanda 8000!
ZIle porojo zake za Tanzania ya Magufuli itakuwa ya viwanda ukisikia hata akithubutu kuongelea wakati wa kampeni? Kungekuwa hata na viwanda 1,000 tu usingeona machinga hapa mjini. Kila mtu anaona idadi na biashara ya bodaboda na ajira ilizotoa, iweje viwanda 8,000 ajira zake zisionekane uwepo wake? Bado huyo msemaji wa serikali yuko kwenye usingizi mzito wa propaganda za kizee?
 
Msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema katika miaka 5 iliyopita serikali imeweza kujenga viwanda 8000 vingi vikiwa mkoa wa Pwani ambalo ni eneo la kimkakati.

Msigwa amesema hayo katika mkutano wake na waandishi wa habari mjini Iringa leo.

Chanzo: TBC
Katika watu walopaswa kujiuzulu baada ya 17 March ni Gerson Msigwa.

Kujiuzulu kungempatia heshima kubwa na tasnia nzima ya habari.

Nafikiri ntaeleweka.
 
Serikali kujenga viwanda hii sijui
Ila hii barabara ya morogoro kuanzia kibaha kuna viwanda vimejengwa vingi kule upande wa bagamoyo nako si haba ila sidhan ni kwa idadi kama iliyotajwa na serikali
 
Back
Top Bottom