Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Kama kila kiwanda kinge ajiri mtu mmoja wangekuwa watu 8000 wana ajira!ZIle porojo zake za Tanzania ya Magufuli itakuwa ya viwanda ukisikia hata akithubutu kuongelea wakati wa kampeni? Kungekuwa hata na viwanda 1,000 tu usingeona machinga hapa mjini. Kila mtu anaona idadi na biashara ya bodaboda na ajira ilizotoa, iweje viwanda 8,000 ajira zake zisionekane uwepo wake? Bado huyo msemaji wa serikali yuko kwenye usingizi mzito wa propaganda za kizee?