johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mnasifia ujinga sometimes..kiwanda gani huyo maza kajenga toka akabidhiwe nchi?Mama anaupiga mwingi ayseee.
Msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema katika miaka 5 iliyopita serikali imeweza kujenga viwanda 8000 vingi vikiwa mkoa wa Pwani ambalo ni eneo la kimkakati.
Msigwa amesema hayo katika mkutano wake na waandishi wa habari mjini Iringa leo.
Source: TBC
Kwa kuanzia elewa tu Magufuli kaacha viwanda 8000!..viwanda vinamilikiwa na serikali au watu binafsi?
..vimetoa ajira za kudumu ngapi, na vimelipa kodi kiasi gani?
..pia ratio ya walioajiriwa vs walioingia ktk soko la ajira ikoje?
..Ni vya serikali?Kwa kuanzia elewa tu Magufuli kaacha viwanda 8000!
Labda kama amejengewa mamako. Vijana wetu wasingekuwa wanahangaika mitaani kwa kukosa ajira.Msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema katika miaka 5 iliyopita serikali imeweza kujenga viwanda 8000 vingi vikiwa mkoa wa Pwani ambalo ni eneo la kimkakati.
Msigwa amesema hayo katika mkutano wake na waandishi wa habari mjini Iringa leo.
Chanzo: TBC
Duh.....!Labda kama amejengewa mamako. Vijana wetu wasingekuwa wanahangaika mitaani kwa kukosa ajira.
ZIle porojo zake za Tanzania ya Magufuli itakuwa ya viwanda ukisikia hata akithubutu kuongelea wakati wa kampeni? Kungekuwa hata na viwanda 1,000 tu usingeona machinga hapa mjini. Kila mtu anaona idadi na biashara ya bodaboda na ajira ilizotoa, iweje viwanda 8,000 ajira zake zisionekane uwepo wake? Bado huyo msemaji wa serikali yuko kwenye usingizi mzito wa propaganda za kizee?Kwa kuanzia elewa tu Magufuli kaacha viwanda 8000!
Ukiwa mkweli unakuwa bavicha, ukiwa mnafiki ni uvccm!Duh.....!
Bavicha.
Katika watu walopaswa kujiuzulu baada ya 17 March ni Gerson Msigwa.Msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema katika miaka 5 iliyopita serikali imeweza kujenga viwanda 8000 vingi vikiwa mkoa wa Pwani ambalo ni eneo la kimkakati.
Msigwa amesema hayo katika mkutano wake na waandishi wa habari mjini Iringa leo.
Chanzo: TBC
Idadi ni kubwa au ndogo?Serikali kujenga viwanda hii sijui
Ila hii barabara ya morogoro kuanzia kibaha kuna viwanda vimejengwa vingi kule upande wa bagamoyo nako si haba ila sidhan ni kwa idadi kama iliyotajwa na serikali