Kama kila kiwanda kinge ajiri mtu mmoja wangekuwa watu 8000 wana ajira!ZIle porojo zake za Tanzania ya Magufuli itakuwa ya viwanda ukisikia hata akithubutu kuongelea wakati wa kampeni? Kungekuwa hata na viwanda 1,000 tu usingeona machinga hapa mjini. Kila mtu anaona idadi na biashara ya bodaboda na ajira ilizotoa, iweje viwanda 8,000 ajira zake zisionekane uwepo wake? Bado huyo msemaji wa serikali yuko kwenye usingizi mzito wa propaganda za kizee?
Huu ukanda ni kweli una viwanda vingiIdadi ni kubwa au ndogo?
Vimejengwa na serikali?Serikali kujenga viwanda hii sijui
Ila hii barabara ya morogoro kuanzia kibaha kuna viwanda vimejengwa vingi kule upande wa bagamoyo nako si haba ila sidhan ni kwa idadi kama iliyotajwa na serikali
Umaskini wa muafrika unaanzia kichwani mwake.Msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema katika miaka 5 iliyopita serikali imeweza kujenga viwanda 8000 vingi vikiwa mkoa wa Pwani ambalo ni eneo la kimkakati.
Msigwa amesema hayo katika mkutano wake na waandishi wa habari mjini Iringa leo.
Chanzo: TBC
Vingi naona ni binafsiVimejengwa na serikali?
Duh ndugu acha fix....me nakaa kibaha na zegereni huwa nafanya kazi za umeme huko viwandan....viwanda miatatu hamna....ni kweli ni eneo la viwanda lakin hata mia havifiki......mkoa mzima wa pwani labda viwanda 500 tu (nmetembea maeneo mengi kutokana na kaz nnazofanya)Anaye bisha, aende kibaha maeneo ya Zegereni, hamtaamini, mwenyewe nilikua siamini. Eneo la viwanda 1000, 300, tayari vinafanya kazi, around 500-600 vinajengwa, average ajira ni watu 60.
Ila sijui Kama ni Magufuli, kwani eneo lilitengwa na Jakaya kwa kufanya lobbying Ili kuwasaidia wa kwere wenzie,
Simlaumu hata mimi ningekua jk ningefanya hivo.
Duh ndugu acha fix....me nakaa kibaha na zegereni huwa nafanya kazi za umeme huko viwandan....viwanda miatatu hamna....ni kweli ni eneo la viwanda lakin hata mia havifiki......mkoa mzima wa pwani labda viwanda 500 tu (nmetembea maeneo mengi kutokana na kaz nnazofanya)
Viko wapi hivyo viwanda!!!! Vingekuwepo watoto wetu wangekuwa wanahangaika na ajira? Ujinga huu wadanganyeni CCM wenzenu huko hukoKwa kuanzia elewa tu Magufuli kaacha viwanda 8000!