ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Sawa tumekubali tatizo la ajira ni kubwa lakini so kwa kiwango Cha kushindwa kuajiri wafanyakazi wapya. Miaka yote kuanzia enzi za mkapa watu wamekuwa wakiajiriwa kwanini Sasa hivi imekuwa ngumu mno. Isije kuwa kukosa ajira kunawapa watu stress wakiwaza na hatimaye kubali kulia kimya kimya nani wa kulisemea hili.
Rais hajawahi kugusia hata siku moja ukubwa wa hilu tatizo takwimu tunazo majumbani tumejazana wasomi wazuri ila tunazidi kupoteza.
Ajira portal yenu nilitegemea itakuwa inamwaga ajira hata 1000 kwa mwezi lakini ni chache mno. Taasisi zenu nazo kimya ajirini basi na watoto wa wanyonge wafaidi. Sio watu wote wanaweza biashara.
Kwenye hili suala ukweli unajulikana kama uchumi unakuwa means kazi zinatakiwa ziwe nyingi na watu wapate nafasi ila mambo ni tofauti kabisa.