ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
HahaPole sana mkuu, endelea kuliombea kwa Mungu lile jambo letu litimia na ufalme wa bwana hudumu.
Bia zinapatikana ivyo waweza kununua kabisa zisubili tu shangwe
Mungu atende miujiza aliyowatendea wanaizraeli nyikaniPole sana mkuu, endelea kuliombea kwa Mungu lile jambo letu litimia na ufalme wa bwana hudumu.
Bia zinapatikana ivyo waweza kununua kabisa zisubili tu shangwe
Hilo sahau! Kama Mungu angekua anawachukia sana viumbe waovu, basi leo hii shetani asingekuwepo!Mungu atende miujiza aliyowatendea wanaizraeli nyikani
Hata maandiko matakatifu yameandika kuwa Auaye kwa upanga atakufa kwa upangaHilo sahau! Kama Mungu angekua anawachukia sana viumbe waovu, basi leo hii shetani asingekuwepo!
Kuna wakati huwapa maisha marefu aina hiyo ya viumbe kwa lengo moja tu la kuichangamsha dunia na watu wake.