Serikali Kenya yatangaza wagonjwa wapya 127 wa COVID 19 na kufikisha idadi ya 2,989

Serikali Kenya yatangaza wagonjwa wapya 127 wa COVID 19 na kufikisha idadi ya 2,989

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
127 more people have tested positive for coronavirus in Kenya bringing the total to 2,989.

Health CAS Rashid Aman said 2,247 samples were tested in the last 24 hours.

124 of the new cases are Kenyans while three are foreigners: 84 are male and 33 are female.

The youngest patient is a 3-week-old baby and the oldest is 72 years old.

According to Dr. Aman, 72 frontline health workers have contracted coronavirus: 19 are currently being managed in different facilities.

24 patients have however been discharged bringing the total recoveries to 873.

Nairobi reported 62 cases, Mombasa 34, Busia 14, Machakos 4, Kilifi 4, Kiambu 4, Bungoma 3, Kwale 1 and Uasin Gishu 1.

The cases in Nairobi are distributed as follows:
  • Kibra 21,
  • Westlands 14,
  • Ruaraka 12,
  • Kamukunji 5,
  • Langata 4,
  • Dagoretti North 3,
  • Makadara 1,
  • Embakasi South 1 and
  • Embakasi West 1
Mombasa cases are from Mvita (8), Nyali (7), Changamwe (6), Jomvu (6), Kisauni (4) and Likoni (3).

Busia’s 14 cases are all truck drivers at the Malaba point of entry.

In Kiambu, Thika reported 2 cases while Ruiru and Kikuyu have 1 case each.

Kilifi has two cases reported in Kilifi North, one case in Kilifi South and another in Kaloleni.

Machakos reported 4 cases from Athi River while Uasin Gishu County has one patient from Keses.

Three more people have died from coronavirus bringing the total number of fatalities to 88.
 
Kenya mambo ni [emoji378][emoji378][emoji378][emoji378]
 
Wako vizuri! Wamepanga Lazima waikute USA ili mikopo iendelee kumiminika.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Corona bado ipo?
 
Hawa itakuwa hawana kazi za kufanya hadi wanatangaza covid kila siku.wenzenu hadi tumeanza kusahau
 
Nchi zote zinazozunguka TZ zinaripoti maambukizi karibia kila siku then without any control and preventive measures unataka kutangaza hauna corona! Je Hakuna wafanyabiashara wa TZ wanaoenda hizo nchi? hakuna madereva wa TZ wanaoenda hizo Nchi?
 
hongereni sana majirani, soon mtatangazwa washindi wa covid19 nakukabidhiwa medali yenu.
 
Hawa itakua hawana kazi za kufanya hadi wanatangaza covid kila siku.wenzenu hadi tumeanza kusahau
Urusi leo wamerejesha shughuli zote ziendelee kama kawaida,
na ukumbuke Urusi ni wapili baadabya USA..
Kenya wao wanaendelea kuwatia hofu raia
 
Nchi zote zinazozunguka TZ zinaripoti maambukizi karibia kila siku then without any control and preventive measures unataka kutangaza hauna corona! Je Hakuna wafanyabiashara wa TZ wanaoenda hizo nchi? hakuna madereva wa TZ wanaoenda hizo Nchi?
Point yako ni ipi?
Na sisi tuanze kukamata watu na kuwapima corona? Kisha tunatokea mbele ya makamera kutangaza idadi ya waathirika?
ITASAIDIA NINI?
 
Point yako ni ipi?
Na sisi tuanze kukamata watu na kuwapima corona? Kisha tunatokea mbele ya makamera kutangaza idadi ya waathirika?
ITASAIDIA NINI?
Upumbavu wa wakenya kashaambukizwa huyo naye kawa mpumbavu, hao madereva walioambiwa Wana korona miezi 2iliopita mpaka leo hawana dalili wanaendelea na kugonga gia tu Kama kawa sasa huo ugonywa maigizo ?, Kama tukizungumzia afya ya binadamu hata yeye hapo alipo akienda kufanyia vipimo mwili wake atakutwa na magonjwa kibao ila kwa kua anajiona yuko fiti anajiona mzima Ila madereva wazima anataka wapimwe kila kukicha
 
Screenshot_20200609-174552.png

na bado Kuna vilaza wanacheka juhudi zetu za kudhibiti Corona
 
Hongereni wakenya endeleeni kutuwakilisha vizuri afrika mashariki
 
Nchi zote zinazozunguka TZ zinaripoti maambukizi karibia kila siku then without any control and preventive measures unataka kutangaza hauna corona! Je Hakuna wafanyabiashara wa TZ wanaoenda hizo nchi? hakuna madereva wa TZ wanaoenda hizo Nchi?
You are totally very wrong! unadai Tanzania is without any control and preventive measures! Who told you that? We have more control and preventive measures in Tanzania than it is the case in Kenya,
1. Siku moja tu baada ya kugundulika mgonjwa wa corona, shule zote za msingi zilifungwa.
2. Wiki moja baadaye vuo vyote vilifungwa.
3. Kila mgeni toka nchi za nje alikuwa anafanyiwa isolation kwa siku 14 kwa gharama zake.
4. Kila duka na kila sehemu ya huduma kulikuwa na ndoo nya maji ya kunawa na sabuni kisha kupaka sanitizer mikono. kila stendi ya bus kulikuwa na maji ya kunawa na sabuni.
5. Sehemu zote za public social distancing was a must. And if social distancing was not possible then a mask was to be put on.
6. kila sehemu ya huduma kama benki, nk ilikuwa ni lazima kupima temperature. na kadhalika na kadhalika.
Sasa unaposema hakuna any control and preventive measure, it means accoeding tou all those outlined above do not constitute any control or preventive measure against covid 19. If that is the case it means you know nothing about covid 19 control and preventive measures.
Kitu ambacho hatujafanya Tanzania ni lockdown, ambayo hata waliojaribu kufanya iliwashinda na wakaachana nayo wakati maambukizi yakiwa bado yanaongezeka! Kwa hiyo hakuna tofauti kati ya aliyefanya lockdown na ambaye hakufanya.
Hata hivyo Kenya hapakuwa na lockdown ila partial lockdown which is completely senseless!! Ndiyo maana kwa nchi za afrika ya mashariki Kenya inaonoza kwa covid 19 cases na vifo vinavyotokana na covid 19.
 
127 more people have tested positive for coronavirus in Kenya bringing the total to 2,989.

Health CAS Rashid Aman said 2,247 samples were tested in the last 24 hours.

124 of the new cases are Kenyans while three are foreigners: 84 are male and 33 are female.

The youngest patient is a 3-week-old baby and the oldest is 72 years old.

According to Dr. Aman, 72 frontline health workers have contracted coronavirus: 19 are currently being managed in different facilities.

24 patients have however been discharged bringing the total recoveries to 873.

Nairobi reported 62 cases, Mombasa 34, Busia 14, Machakos 4, Kilifi 4, Kiambu 4, Bungoma 3, Kwale 1 and Uasin Gishu 1.

The cases in Nairobi are distributed as follows:
  • Kibra 21,
  • Westlands 14,
  • Ruaraka 12,
  • Kamukunji 5,
  • Langata 4,
  • Dagoretti North 3,
  • Makadara 1,
  • Embakasi South 1 and
  • Embakasi West 1
Mombasa cases are from Mvita (8), Nyali (7), Changamwe (6), Jomvu (6), Kisauni (4) and Likoni (3).

Busia’s 14 cases are all truck drivers at the Malaba point of entry.

In Kiambu, Thika reported 2 cases while Ruiru and Kikuyu have 1 case each.

Kilifi has two cases reported in Kilifi North, one case in Kilifi South and another in Kaloleni.

Machakos reported 4 cases from Athi River while Uasin Gishu County has one patient from Keses.

Three more people have died from coronavirus bringing the total number of fatalities to 88.

Kuhusiana na Corona EAC walioweza hii vita ni Rwanda na Uganda in that order.

Kuhusu Kenya japo wanaweza kuwa na nafuu kidogo kuliko sisi. hali yao na yetu inaweza kuwa haipishani sana:

Corona: EAC kutokuwapo protokali moja, janga hili bado sana.

Corona: Watakaopona walijipanga, Ukiona vyaelea Vimeundwa

Huo ndiyo ulio ukweli mchungu!
 
Back
Top Bottom