Serikali Kenya yatangaza wagonjwa wapya 127 wa COVID 19 na kufikisha idadi ya 2,989

You are totally very wrong! unadai Tanzania is without any control and preventive measures! Who told you that? We have more control and preventive measures in Tanzania than it is the case in Kenya,
1. Siku moja tu baada ya kugundulika mgonjwa wa corona, shule zote za msingi zilifungwa.
2. Wiki moja baadaye vuo vyote vilifungwa.
3. Kila mgeni toka nchi za nje alikuwa anafanyiwa isolation kwa siku 14 kwa gharama zake.
4. Kila duka na kila sehemu ya huduma kulikuwa na ndoo nya maji ya kunawa na sabuni kisha kupaka sanitizer mikono. kila stendi ya bus kulikuwa na maji ya kunawa na sabuni.
5. Sehemu zote za public social distancing was a must. And if social distancing was not possible then a mask was to be put on.
6. kila sehemu ya huduma kama benki, nk ilikuwa ni lazima kupima temperature. na kadhalika na kadhalika.
Sasa unaposema hakuna any control and preventive measure, it means accoeding tou all those outlined above do not constitute any control or preventive measure against covid 19. If that is the case it means you know nothing about covid 19 control and preventive measures.
Kitu ambacho hatujafanya Tanzania ni lockdown, ambayo hata waliojaribu kufanya iliwashinda na wakaachana nayo wakati maambukizi yakiwa bado yanaongezeka! Kwa hiyo hakuna tofauti kati ya aliyefanya lockdown na ambaye hakufanya.
Hata hivyo Kenya hapakuwa na lockdown ila partial lockdown which is completely senseless!! Ndiyo maana kwa nchi za afrika ya mashariki Kenya inaonoza kwa covid 19 cases na vifo vinavyotokana na covid 19.
Unafunga shule ukiwa na mgonjwa mmoja wakati bar, sehemu za ibada public transport vinaendelea normal.
 
We kweli hujitambu Yani Tz ufananishe na Kenya ?wakati Kenya ndio inayotuwakilisha kwa korona ukanda huu
 
Umesahau kupiga NYUNGU
 
Back
Top Bottom