Serikali kipindi kama sasa ndio huwa inakumbuka umuhimu wa JamiiForums

Serikali kipindi kama sasa ndio huwa inakumbuka umuhimu wa JamiiForums

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Sasa hivi wanavitaka vyombo vya habari ikiwemo JamiiForums kutoa elimu kwamba Corona imeingia watu wachukue tahadhari wakati mpaka leo wana kesi isiyoisha mahakamani.

Vyombo vya habari kibao vimepigwa fine ili kuvinyamazisha ila leo vinakumbukwa.

Tuishi kwa upendo na kwa kutowaonea wengine maana kuna kipindi tutawahitaji

Kuamini kwamba vyombo vya habari na social media ufanya uchochezii ni ujinga maana faida zake ni kubwa mno kuliko hasara liwe somo kwa wote wanaotamani mitandao ya kijamii isiwepo hasa jamii forum.
 
Back
Top Bottom