Serikali kuajiri walimu 21000 mwaka 2015/16

Lusungo

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
28,259
Reaction score
41,416
Akijibu hoja za wabunge Waziri Wa nchi ofisi ya Rais Utumishi Wa Umma Mhe. Selina Kombani amesema Serikali inampango wakuajiri idadi hiyo ya walimu mwaka ujao Wa fedha.

Hivyo nitumie fursa hii kuwatia moyo walimu tarajali walioko vyuoni ajira zipo wasikate tamaa.
 
sidhan maana walimu wamejaa mpaka bac labda tumuombe Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…