Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Akijibu hoja za wabunge Waziri Wa nchi ofisi ya Rais Utumishi Wa Umma Mhe. Selina Kombani amesema Serikali inampango wakuajiri idadi hiyo ya walimu mwaka ujao Wa fedha.
Hivyo nitumie fursa hii kuwatia moyo walimu tarajali walioko vyuoni ajira zipo wasikate tamaa.
Hivyo nitumie fursa hii kuwatia moyo walimu tarajali walioko vyuoni ajira zipo wasikate tamaa.