Lakini bwana Kaka kabla ya kukimbilia huko kwenye Fly Overs Umejiridhisha kwamba Barabara zote za Kawaida Zinapitika vizuri?Au Ubovu wa barabara nyingi ndo unatufanya sote tupende kupita barabara nzuri!Serikali imalizie barabara za chini kwanza!Hebu tusiibeze serikali wakati inapotaka kufanya mambo ya maana. Flyovers Dar ni muhimu na sioni kwa nini mtu atilie shaka kwamba serilkali haitaweza. Tuipe muda serikali ijenge hizi flyovers
Magufuli pamoja na jitahada zake za kufanya mambo kama yanavyotakiwa naona anaanza kudanganywa na mafisadi. Iwaje serikali iwaombe wajapan waje kujenga barabara za juu wakati Watanzania wengi ndio waliobobea shughuli za kujenga barabara za juu hususan Canada, USA, UK, nk. Hivi anaona watanzania ni vilaza kiasi hicho? What is very special kuhusu barabara za juu? Huu ni wizi namshauri awasiliane na wabongo kwenye nchi tajwa hapo juu wamsaidie na waweze kuwekeza kwa Watanzania wenyewe na sio kila kukicha kuwatajirisha wageni.
Swala lingine ni la kujenga nyumba 47/48 Dar na mbili Idodomia. Hivi mandate ya serikali kujenga nyumba haiko chini ya NHC? Kwa nini kila wizara inataka kujenga nyumba zake na sio kutumia shirika la NHC? Je wamegundua nini ambacho NHC hawawezi kufanya? Au ndio danganya toto ile ile ya kukwapua mpunga wa walipa kodi?
Magufuli pamoja na jitahada zake za kufanya mambo kama yanavyotakiwa naona anaanza kudanganywa na mafisadi. Iwaje serikali iwaombe wajapan waje kujenga barabara za juu wakati Watanzania wengi ndio waliobobea shughuli za kujenga barabara za juu hususan Canada, USA, UK, nk. Hivi anaona watanzania ni vilaza kiasi hicho? What is very special kuhusu barabara za juu? Huu ni wizi namshauri awasiliane na wabongo kwenye nchi tajwa hapo juu wamsaidie na waweze kuwekeza kwa Watanzania wenyewe na sio kila kukicha kuwatajirisha wageni.
?
Hebu tusiibeze serikali wakati inapotaka kufanya mambo ya maana. Flyovers Dar ni muhimu na sioni kwa nini mtu atilie shaka kwamba serilkali haitaweza. Tuipe muda serikali ijenge hizi flyovers
Foleni zinaboa dsm jamani. Ubungo-posta saa moja na nusu.!