Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Nchi ya hovyo Sana hii.Najaribu kujiuliza serikali italitekelezaje hili?
Mfano YouTube, Instagram, TikTok nk ziko sourced nje ya Tanzania..
Tutalazimika kupata kibali kutoka serikalini ili kuwa na account YouTube, Instagram, TikTok nk?
Mfano Mimi naweza kuweka Tangazo langu kwenye YouTube account inayomilikiwa na mtu aliye nje ya nchi mfano; Kenya, USA nk. Utawezaje kutoza Kodi Tangazo Hilo?
I don't get it...

[emoji38]Wale wasanii na machawa wanaojitangaza kulipwa mamilioni ya ubalozi wanaenda kukutana na moto. Itabidi wawe wakweli sasa
Wazee wa kuongeza sifuri mtu anapewa elfu 50 anaongeza sifuri misifa[emoji38]
Utawasikia ohh nmelipwa mln 100
Haya sasa wenyewe wana taka chao
Ova
Wazee wa kuongeza sifuri mtu anapewa elfu 50 anaongeza sifuri misifa
Ova