Zigo la chawa
New Member
- Jan 16, 2021
- 4
- 2
Hii nchi tunaumizwa sana na hawa wanaoitwa wanasiasa.. Mgodi muda wa uhai umeisha yy anasema kuna potential itapatikana hapo. Ukiangalia kikampuni chenyewe mnachoingia nacho ubia cha 2019. Sasa kimekutana na changamoto zipi kwenye mining industry.
MUDA WA UHAI WA MGODI UMEKWISHA
Yaani potential drill mark zote wamechimba hazipo recomendation zinataka wao kusurrender mgodi anatokea mtu anasema anamitambo ya kuchenjua kwa faida na mnakubaliana kuingia ubia naye duuh!!