Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa tangazo la kufuta vijiji vyote vinavyopatikana ndani ya mipaka ya pori tengefu Loliondo ili kupisha hatua ya kupima upya maeneo hayo yatakayopangiwa matumizi mengine.
Hatua hii iliyotangazwa na Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro inaongeza wasiwasi wa kuondolewa kwa wakazi waliobaki kwenye baadhi ya maeneo ya pori hilo.
Hadi sasa, watu 24 wanashikiliwa kwenye Mahabusu ya Gereza la Kisongo, Arusha kwenye kesi namba 8/2022 ambapo itatajwa tena Novemba 8, 2022 baada ya kushindwa kukamilika kwa ushahidi wa awali.