Pre GE2025 Serikali kugawa mitungi ya gesi kwa sharti la kutoa namba ya nida ni mkakati wa kupata kura feki 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sijataja kampuni ya simu hapo, alaf uliona wapi serikali inajipiga faini
Nilisoma vibaya hapo Mkuu... sio wao kujipiga fine, nimemaanisha kushtakiwa kwenye breach ya ulizi wa taarifa basi, ndio maana moves wanazofanya kunakuwa hakuna uhusika wao moja kwa moja
 
Mkuu Umewaza mbali sana .....uchungu wao upo kwenye vidole kuandika mitandaoni na kwenye uhalisia mavi ya kenge!
Mpaka unapaniki :KEKWlaugh: :KEKWlaugh: :KEKWlaugh: kama hupigi kura wengine tunapiga... afu mwaka huu usirudie tena huo upupu, ukapige kura
 
copy ya nini na una kitambulisho halisi ndugu mpotoshaji mshupaza shingo?

there is no room or escape root for criminals in this very beautiful republic. Labda mkajipange DRC na upotoshaji wenu.

waTanzania wanufaika wa mitungi ya gas wataendelea kutoa na kuchukuliwa taarifa zao muhimu ili hatimae kama Taifa tupate takwimu sahihi na idadi kamili ya waTanzania waliopata gas na ambao bado hawajapata ili kuepuka kujirudia kwa wanufaika wadanganyifu wasio waaminifu, hali ya kua zoezi bado halijakamilika kote nchini kwa waTanzania wengine.

Upotoshaji ni ushirikina ndugu zangu 🐒
:KEKWlaugh::KEKWlaugh::BearLaugh::BearLaugh:we jifanye hujaelewa ila ujumbe umefika... safari hii mmeminywa pabaya... watu wameamka bana😂
 
hakuna haja ya kujifanya chochote my lady, ispokua ukweli na usahihi wa zoezi la ugawaji wa mitungi ya gas kwa wananchi nchi nzima lazima liambatane na kumbukumbu sahihi na za uhakika za wanufaika, na ili kama taifa tuwe na record ya uhakika dhidi ya ufanisi wa zoezi lenyewe

hakuna haja ya kubabaika na upotoshaji :MODS:
 
Kwanini zutumike namba za NIDA wakati wanananchi waliopokea mitungi wanaweza kutambulika kwa urahisi tu kwa msaada wa viongozi wa Mtaa?

Tutawauksha kwa wizi mwaka huu 🌚🌚
 
Mpaka unapaniki :KEKWlaugh: :KEKWlaugh: :KEKWlaugh: kama hupigi kura wengine tunapiga... afu mwaka huu usirudie tena huo upupu, ukapige kura
Nipaniki kisa nini watu wanajibebea mitungi wewe kausha vidole na nida zisizo zako maandamano huendi kura hupigi saa hii ungekuwa na msimamo wa kweli upinzani ungekuwa ikulu lakini kwenye msafara wa mamba kenge wa madoa madoa pia wapo!
 
Kwanini namba za NIDA wakati wanananchi waliopokea wanaweza kutambulika kwa urahisi tu kwa msaada wa viongozi wa Mtaa... tutawauksha kwa wizi mwaka huu 🌚🌚
my lady,
kitambulisho cha NIDA ndio utambulisho pekee wa ujumla uliokamilika wa utaifa wa kila mTanzania.

Na ndio maana kama nchi tunasisitiza kila mTanzania kuhakikisha anakua na kitambulisho cha taifa, kwani ni lazima kua nacho ili kurahisisha upatikananaji wa huduma mbalimbali muhimu humu nchini, ikiwa ni pamoja na kupata gas.

uoga wako ndio umaskini wako,
hakuna haja ya kubabaika na upotoshaji my lady :MODS:
 
Nipaniki kisa nini watu wanajibebea mitungi wewe kausha vidole na nida zisizo zako maandamano huendi kura hupigi saa hii ungekuwa na msimamo wa kweli upinzani ungekuwa ikulu lakini kwenye msafara wa mamba kenge wa madoa madoa pia wapo!
Unaendeleo kuonesha mpaniko wako, vipi povu limeisha? Mwaka huu mtaisoma namba tu kama mnavyoimba kwenye nyimbo zenu.... wananchi wanaamka
 
my lady,
kitambulisho cha NIDA ndio utambulisho pekee wa ujumla uliokamilika wa utaifa wa kila mTanzania.

Na ndio maana kama nchi tunasisitiza kila mTanzania kuhakikisha anakua na kitambulisho cha taifa, kwani ni lazima kua nacho ili kurahisisha upatikananaji wa huduma mbalimbali muhimu humu nchini, ikiwa ni pamoja na kupata gas.

uoga wako ndio umaskini wako,
hakuna haja ya kubabaika na upotoshaji my lady :MODS:
Umasikini kwa kupewa ka mtungi kale kaduchu? :BearLaugh: :BearLaugh: wananchi wameamka safari hii hamtaachwa muibe kirahisi hivyo
 
"Kwa utaratibu wa sasa hivi kila mtungi mmoja unaenda kwa kwa mtu mmoja na inachukuliwa vile vile kwa namba ya nida yote ni kuhakikisha tunaweza kufikisha mitungi kwa wananchi wengi zaidi.... na kwenye kila mkoa kuna mawakala.."
CCM wajinga sana
 
Umasikini kwa kupewa ka mtungi kale kaduchu? :BearLaugh: :BearLaugh: wananchi wameamka safari hii hamtaachwa muibe kirahisi hivyo
kuutokomeza umaskini ni hatua my lady,
kuutokomeza umaskini wa kifikra kwa kiasi kikubwa kama taifa tumefanikiwa, elimu ni bure sasa kwa wote..

haya mengine ya ugawaji gas na mengineyo, ni katika kutokomeza umaskini wa hali za maisha ya wananchi huku tukinusuru uharibifu wa mazingira ambao kwa kiasi kikubwa unachochea mamabidiko hasi ya tabia nchi ambayo inaathari kwa wananchi wenyewe,

mitungi ya gas inakwenda kuraise up standard ya maisha ya mamailioni ya waTanzania bila mbamabamba yoyote :DisGonBGud:
 
Nilisoma vibaya hapo Mkuu... sio wao kujipiga fine, nimemaanisha kushtakiwa kwenye breach ya ulizi wa taarifa basi, ndio maana moves wanazofanya kunakuwa hakuna uhusika wao moja kwa moja
Kazi kweli kweli, ila hiyo yote ni kupambania ugali wa kila siku Mkuu
 
Vina tushiki katika mchakato wa uchaguzi,kura hazitoibiwa,lakini hili la kusema kuwa namba ya NIDA inaweza kutumika kwenye wizi wa kura,hili halikubaliki,kwani kama ni kuiba kura inaweza kuibiwa bila ya NIDA,sa watu hatutaki kusimama kwenye mchakato mzima wa uchaguzi,tunategemea nini
2025,tupo na Mama
 
Kila siku nasema ukiwa chawa jitahidi angalau uwe na ukili! Kwahiyo kama wachache hawashiriki kwenye uchaguzi ndio tiketi ya kuuza utu wako kwa sh. elf 7? Poda kabisa!
 
Hao wachache ndo hao wanaodai kuwa kura zimeibiwa,lakini hizo kura za hao wachache zingebadili matokeo
 
:BearLaugh: :BearLaugh:kubishana na chawa ni kama vile unabishana na debe tupu, unamaliza tu nguvu bure🥱:ItalianHands:
Kura hawataki kupiga, sa wanategemea matokeo gani,wakapige kura kwanza
2025,Tupo na Mama
Mama Daima
 
Back
Top Bottom