The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Hii issue nachukulia kama cheap politics, kujipendekeza na kutafuta huruma Kwa viongo wa dini, Serikali ifanye KAZI iliyopewa na wananchi.
Sijaelewa mantiki yake. Mi nimuumini kindakindaki wa Catholic hatushindwi kukarabati kanisa hilo.
Tukiamua Kila mbatizwa atoe tu sh 500 ukarabati utaisha fasta na chenji inabaki.