Serikali kugharamia ukarabati uharibifu wa kanisa Geita

Serikali kugharamia ukarabati uharibifu wa kanisa Geita

Pesa za SERIKALI ni Kodi ya Kila MTU mpaka yule aliyetenda kosa Hilo.
Kimila haiwezekani Tena kumlaani aliyetenda kosa kwasbabu Naye ni mlipa Kodi.

Kanisa Katoliki ni kanisa lenye waumini wenye uwezo mkubwa sana kiuchumi na kimadaraka kuliko makanisa na Dini zote nchini . Hivyo NAFIKIRI INGEKUA vyema SERIKALI ikaendelea na majukumu mengine ya kumtafuta mhalifu na kuwekeza kwenye ulinzi Wa watu na Mali zao.

Tumewekeza kidogo sana kwenye ulinzi Wa raia na Mali zao. Ni Mungu tu anasaidia sana kulinda Mali za watu Kwa kiasi kikubwa .

Kama pesa zenyewe za SERIKALI ni Mikopo NADHANI ni Bora wakawaacha waumini Wa kanisa Katoliki wanaozidi milion 20 wakachanga na kukarabati kanisa lao wenyewe.

Anyway Ahadi ni deni. SERIKALI itimize Ahadi yake.
 
Umeona eenhh?,Hao ndio Walimwengu.
Mazuzuta! Watu wanaegama kwenye udini! Yule mchungaji walimpiga ban kwa kuwanenea waisilamu mema, ailikua na udini gani!!!? Sisi wakristo Muda mwingine ni miyeyusho sana na wengi ni wabinafsi sana tofauti na waislamu
 
Back
Top Bottom