The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Unazijua akili za Tanzanian politicians boss?.Sidhani kama ni kosa, watakapotumia msaada huo kujitutumua basi hapo inageuka siasa
There's no free lunch. You have to pay the price for everything.Mheshimiwa anatambua nguvu ya hicho kitu.
Unaona ee sadaka ya wiki moja tu shuguli inaisha.Kumeharibika wapi?. Sadaka za jumapili moja zinatosha.
Hii tukio lina walakini fulani huko geita
Hapana hapana hapanaUnazijua akili za Tanzanian politicians boss?.
Hii issue nachukulia kama cheap politics, kujipendekeza na kutafuta huruma Kwa viongo wa dini, Serikali ifanye KAZI iliyopewa na wananchi.
Sijaelewa mantiki yake. Mi nimuumini kindakindaki wa Catholic hatushindwi kukarabati kanisa hilo.
Tukiamua Kila mbatizwa atoe tu sh 500 ukarabati utaisha fasta na chenji inabaki.
View attachment 2534360
Umeona eenhh?,Hao ndio Walimwengu.Kweli binadamu hana jema kabisa! Mara raisi mdini mara anajipendekeza mara eeh! Mimi sio shabiki sana wa wanasiasa ila hamumtendei haki MALIKIA WA NGUVU