Serikali Kuharakisha Leseni za Walimu, Madalali na WAendesha Guta za umeme zisizo na namba plate!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,434
Reaction score
27,177
Walimu ni kada muhimu inayodharaulika. Siyo kwamba si wasomi ila kwakuwa ukitoka tu chuo basi unafundisha lakini wanapswa kukata leseni ili waheshimike kama mawakili wanavyoheshimika duni a nzima
  1. Madaktari bingwa na wa jumla (Physicians
  2. Wauguzi waliosajiliwa (Registered Nurses - RN)
  3. Wafamasia (Pharmacists)
  4. Madaktari wa meno na wataalamu wa usafi wa meno (Dental Hygienists)
  5. Wataalamu wa viungo na tiba ya mwili (Physical Therapists)
  6. Wanasheria na mawakili (Lawyers)
  7. Wahasibu waliothibitishwa (Certified Public Accountants - CPA).
  8. Wakandarasi wa ujenzi (General/Building Contractors
  9. Wahandisi wa miundombinu na ujenzi (Engineers).
  10. Wapima ardhi (Land Surveyors).
  11. Walimu wa shule za umma (Teachers
  12. Wataalamu wa saikolojia na ushauri nasaha (Psychologists / Counselors).
  13. Wafanyakazi wa jamii (Social Workers) .
  14. Waendesha Guta

Hapa serikali itapata mapato makubwa kupitia utoaji wa leseni na itajua watumishi na idadi yao na hata ikitaka kuwapa teuzi itakuwa rahisi sana.
 
Hayo yote yatakuwa na thamani kama tutakuwa tushapatiwa katiba mpya.

Kama mwenyekiti wetu atakuwa amewachiwa huru hapo hayo yote yatakuwa na thamani
 
I salute you, katiba inatokana na wananchi , ambayo ni ile ya Warioba, nje ya hapo ......!
 
Walimu ni kada muhimu inayodharaulika. Siyo kwamba si wasomi ila kwakuwa ukitoka tu chuo basi unafundisha lakini wanapswa kukata leseni ili waheshimike kama mawakili wanavyoheshimika duni a nzima
  1. Madaktari bingwa na wa jumla (Physicians
  2. Wauguzi waliosajiliwa (Registered Nurses - RN)
  3. Wafamasia (Pharmacists)
  4. Madaktari wa meno na wataalamu wa usafi wa meno (Dental Hygienists)
  5. Wataalamu wa viungo na tiba ya mwili (Physical Therapists)
  6. Wanasheria na mawakili (Lawyers)
  7. Wahasibu waliothibitishwa (Certified Public Accountants - CPA).
  8. Wakandarasi wa ujenzi (General/Building Contractors
  9. Wahandisi wa miundombinu na ujenzi (Engineers).
  10. Wapima ardhi (Land Surveyors).
  11. Walimu wa shule za umma (Teachers
  12. Wataalamu wa saikolojia na ushauri nasaha (Psychologists / Counselors).
  13. Wafanyakazi wa jamii (Social Workers) .
  14. Waendesha Guta

Hapa serikali itapata mapato makubwa kupitia utoaji wa leseni na itajua watumishi na idadi yao na hata ikitaka kuwapa teuzi itakuwa rahisi sana.
"...hapa serikali itapata mapato makubwa..."

Kwa kutimiza lengo hilo sawa, lakini sio kusema leseni ndo itawapa heshima walimu. Big No
 
Back
Top Bottom