Tena kila kitu wanataka wao,gesi,umeme wa Mwalimu Nyere dam,SGR,ccm moja milele,hivi vitu haviwezi kupikwa chungu kimojaBoss tujikite kwenye nishati ya gesi tu.
Gesi ya 1000? Unaona humu watu ni wapumbavu Kama wewe?
Boss mimi naona viko sawa tu. Jaribu gesi ya Tsh 1000 upikie uone inakaa muda gani.
Mataifa yote huwa yanachanganya vyanzo vya nishati boss. Taifa linalo jielewa haliwezi kutegemea chanzo kimoja cha nishati.Tena kila kitu wanataka wao,gesi,umeme wa Mwalimu Nyere dam,SGR,ccm moja milele,hivi vitu haviwezi kupikwa chungu kimoja
Mataifa yote huwa yanachanganya vyanzo vya nishati boss. Taifa linalo jielewa haliwezi kutegemea chanzo kimoja cha nishati.
Ni kweli bossShida sio vyanzo vyote,shida ni ufanisi wa Jambo moja kwenda jingine angalia sasa mvua ziko chini ya kiwango na mipango ya irrigation iko kwa paper