USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,213
- 28,916
SERIKALI KUJENGA GHALA LA KUHIFADHI TUMBAKU -KALENGE BIHARAMULO.
Bajeti ya wizara ya kilimo inayoendelea katika mjadala bungeni Dodoma inajibu swali na shauku ya muda mrefu ya kujenga ghala la kuhifadhi tumbaku ghafi wilayani biharamulo katika kijiji cha kalenge.
Mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa amewahakikishia wanabiharamulo kuwa bajeti hiyo kama ilivyosomwa bungeni na waziri wa Kilimo Mh Hussein Bashe ainalitaja eneo la kalenge kama sehemu muhimu ambapo ghala hilo litajengwa katika bajeti hii.
Kumekuwa na changamoto ya muda mrefu ya wakazi wa biharamulo hususani wakulima wa Tumbatu kukosa soko na ghala ili kazi ya kuuza ifanyike hapa hapa biharamulo na sio kusafirisha bidhaa hiyo .
Biharamulo inamuhitaji sana Eng Ezra Chiwelesa
AKIAHIDI ANATEKELEZA KUWA SHAHIDI