Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa unachuki na Arusha sanaWatanzania si wapenzi wa mpira, ukiondoa mashabiki wa Yanga, Simba ambao nao viingilio huwa ni 3,000 hakuna mashabiki wengine.
Hizo gharama wanazotumia bora wajenge kama vya Azam
Morogoro na Mbeya hakuna hotels za ku host wageni wa afconMkoa umeshindwa kuwa na timu ya ligi kuu kwa zaidi ya miaka 10 huo uwanja ujengwe kwenye miji kama mbeya, mwanza au morogoro atleast
Morogoro na Mbeya hakuna hotels za ku host wageni wa afcon
Kila kitu mnategemea Serikali mbona MWANZA wamejenga Stendi ya Nyegezi kwa pesa yao wenyewe Wana Arusha aacheni kukwepa kulipa kodi ili mjenge stendiWajenge stand kubwa ya mabasi kwanza, jiji kama hilo sio la kukosa stendi yenye hadhi kisha tukae kuwaza uwanja.
Mkoa umeshindwa kuwa na timu ya ligi kuu kwa zaidi ya miaka 10 huo uwanja ujengwe kwenye miji kama mbeya, mwanza au morogoro atleast
Sidhani kama Mbeya na Morogoro kuna hata Hotel moja ya Nyota 5.Sio kweli, mbeya zipo kama hotel 4, moro zinaweza patikana hotel 6 hivi.