Serikali kujenga ukumbi wenye uwezo wa kubeba watu 5000 Arusha

Serikali kujenga ukumbi wenye uwezo wa kubeba watu 5000 Arusha

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
“Mikutano hii tunayoiona ni namna Rais alivyoamua kutekeleza Diplomasia na Rais alisema anataka kuifungua nchi na moja ya namna ya kuifungua nchi ni pamoja na mikutano hii. Na mikutano mikubwa ndio inayotangazwa zaidi lakini niseme mikutano midogo ya Kimataifa ambayo inafanyika Tanzania ni mingi sana.

Kwa sasa tunataka kujenga ukumbi mwingine mkubwa sana ambao utaitwa Kilimanjaro International Convention Center na ukumbi huu unaweza kuingiza watu 3000 au 5000. Kwa sasa kuhakikisha watu 5000 wanakaa pamoja ni changamoto na tutajenga kituo hiki pale Arusha. Utalii wa mikutano ni mkubwa” - Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa
1739971522650.png
 
Back
Top Bottom