Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Serikali kukanusha ukiukwaji mkubwa wa haki nchini na uwepo wa mauwaji yasisi kwa sisi ya kiholela holela hasa kwa wakosoaji wa serikali kwa wapinzani na viongozi wa kidini ni kujaribu kutaka kudanganya dunia dhidi ya ukweli.
Serikali imekanusha azimio la ulaya ikidai kuwa haiajapata taarifa kwenye vyanzo sahihi kwa kile kinachoendelea tanzania kwamba inataka wakae waongee na ulaya na kwamba Tanzania matukio hayo hayapo ni amani tu.
serikali ya sasa haipaswi kuaminiwa kwa kile dunia ilicho kiona ndio kinachoendelea Tanzania kuna uvunjifu mkubwa wa haki za kibinadamu kuna mauwaji ya sisi kwa sisi kwa kujificha kwenye mgongo wa demokrasia na amani. kwani mauwaji na utekaji ni amani ya wapi hiyo hadi kukanusha ?