Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Sio kweli, Polisi unawafahamu wewe, ingekuwa hivyo uchunguzi ungefanyika chap na watuhumiwa wangekamatwa na kutangazwa hadharani ili ionekane CHADEMA hakina maana hakipaswi kuaminiwaKuna uwezekano mkubwa Chadema inaumiza wanachama wake wenyewe ili kupata huruma ya watu, maana wanajua hata wakiumiza atakaelaumiwa ni serekali, yule dada wa chadema aliepigwa na walinzi wa Heche hadi akalazwa asingepigwa hadharani lawama ingekua ni ya serekali.
Kuna uwezekano mkubwa Chadema inaumiza wanachama wake wenyewe ili kupata huruma ya watu, maana wanajua hata wakiumiza atakaelaumiwa ni serekali, yule dada wa chadema aliepigwa na walinzi wa Heche hadi akalazwa asingepigwa hadharani lawama ingekua ni ya serekali.
We mpumbavu kweli.Kuna uwezekano mkubwa Chadema inaumiza wanachama wake wenyewe ili kupata huruma ya watu, maana wanajua hata wakiumiza atakaelaumiwa ni serekali, yule dada wa chadema aliepigwa na walinzi wa Heche hadi akalazwa asingepigwa hadharani lawama ingekua ni ya serekali.
Kama ni kwel usemacho basi nchi yetu haiko salama kiulinzi na kiintelijensia!! Kama CDM wanaweza fanya uhalifu na ukatili na hakuna uchunguz ulio wabaini. Hatuna ulinzi!!!Kuna uwezekano mkubwa Chadema inaumiza wanachama wake wenyewe ili kupata huruma ya watu, maana wanajua hata wakiumiza atakaelaumiwa ni serekali, yule dada wa chadema aliepigwa na walinzi wa Heche hadi akalazwa asingepigwa hadharani lawama ingekua ni ya serekali.
Unashida mahali seriously!!Kuna uwezekano mkubwa Chadema inaumiza wanachama wake wenyewe ili kupata huruma ya watu, maana wanajua hata wakiumiza atakaelaumiwa ni serekali, yule dada wa chadema aliepigwa na walinzi wa Heche hadi akalazwa asingepigwa hadharani lawama ingekua ni ya serekali.
Mabalozi wao wapo nchini ndiyo chanzo sahihiSerikali kukanusha ukiukwaji mkubwa wa haki nchini na uwepo wa mauwaji yasisi kwa sisi ya kiholela holela hasa kwa wakosoaji wa serikali kwa wapinzani na viongozi wa kidini ni kujaribu kutaka kudanganya dunia dhidi ya ukweli.
Serikali imekanusha azimio la ulaya ikidai kuwa haiajapata taarifa kwenye vyanzo sahihi kwa kile kinachoendelea tanzania kwamba inataka wakae waongee na ulaya na kwamba Tanzania matukio hayo hayapo ni amani tu.
serikali ya sasa haipaswi kuaminiwa kwa kile dunia ilicho kiona ndio kinachoendelea Tanzania kuna uvunjifu mkubwa wa haki za kibinadamu kuna mauwaji ya sisi kwa sisi kwa kujificha kwenye mgongo wa demokrasia na amani. kwani mauwaji na utekaji ni amani ya wapi hiyo hadi kukanusha ?
Iundwe tume huru ya uchunguzi tujue mbivu na mbichi,Kuna uwezekano mkubwa Chadema inaumiza wanachama wake wenyewe ili kupata huruma ya watu, maana wanajua hata wakiumiza atakaelaumiwa ni serekali, yule dada wa chadema aliepigwa na walinzi wa Heche hadi akalazwa asingepigwa hadharani lawama ingekua ni ya serekali.
We ubongo wako uko dormant kama mbuzi huingii bandani hadi ufunguliwe mlango haya mambo huwezi kuelewa.We mpumbavu kweli.
CHADEMA waumize watu wao halafu polisi wasiwakamate?.
Foolish of the foolishness.
Andika comment fupi muda wa kusoma gazeti la kipuuzi sinaWewe shetani hayawani, kabla ya kuweka huu upuuzi ungekuwa hata na akili ya kuweza kuvaa suruali vizuri, ungejiuliza, kama wauaji na watekaji siyo serikali yenyewe, kwa nini Serikali haijwahi kuwakamata hao watekaji?
Ungejiuliza, wale polisi waliowateka watu waliokuwa wanaelekea mahakamani, wakiwa na magari ya polisi, wakawapiga, wakawavunja miguu na mikono, wakaenda kuwatupa ksenye msitu walioutupa mwili wa Ali Kibao, walikuwa polisi wa nchi gani?
Haya, jipige kifuani mara tatu, sema, "kwa nini mimi mpumb.avu wa kiwango hiki?"
🚮 Takataka wahedAndika comment fupi muda wa kusoma gazeti la kipuuzi sina
You must be either pregnant or fool.Kuna uwezekano mkubwa Chadema inaumiza wanachama wake wenyewe ili kupata huruma ya watu, maana wanajua hata wakiumiza atakaelaumiwa ni serekali, yule dada wa chadema aliepigwa na walinzi wa Heche hadi akalazwa asingepigwa hadharani lawama ingekua ni ya serekali.