Tetesi: Serikali kukutana na wadau Arusha kujadili hali mbaya ya utalii

Tetesi: Serikali kukutana na wadau Arusha kujadili hali mbaya ya utalii

mimi bado nina imani utalii ndio sekta ya kututoa haraka kuliko chochote kama tutaishupalia na kuweka ubunifu mbele.
 
[CUOTE="1954, post: 17598657, member: 583"]Mtasema sana mwaka huu...inafahamika kuwa makampuni kadhaa ya utalii huko Arusha ni ya Wakenya sasa wameanza kuisoma namba...na Wakenya wale walioingia kinyemela hukop Lushoto, Muheza na kwingineko na kuwaoa dada na mabinti 'zetu' (lakini lengo lao likiwa ni ardhi) nao wameanza kuisoma namba...[/QUOTE]
Mawazo kama ya Magufuli
 
Mtasema sana mwaka huu...inafahamika kuwa makampuni kadhaa ya utalii huko Arusha ni ya Wakenya sasa wameanza kuisoma namba...na Wakenya wale walioingia kinyemela hukop Lushoto, Muheza na kwingineko na kuwaoa dada na mabinti 'zetu' (lakini lengo lao likiwa ni ardhi) nao wameanza kuisoma namba...
Wewe mzee muda mwingine uwe unatumia hata hizo busara kidogo kama unazo ,aliyekuambia Arusha kampuni za tours zinamilikiwa na Wakenya ni nani ? Unaweza kunitajia kampuni tano Arusha zinazo milikiwa na Wakenya ?
 
Hahahahaha...nimependa comment yako, ila sikwambii kwanini nimeipenda...
 
Wewe mzee muda mwingine uwe unatumia hata hizo busara kidogo kama unazo ,aliyekuambia Arusha kampuni za tours zinamilikiwa na Wakenya ni nani ? Unaweza kunitajia kampuni tano Arusha zinazo milikiwa na Wakenya ?
Sio Wakenya tu..hata wazungu wanamiliki kampuni nyingi za utalii mfano Abacombi
 
Sio Wakenya tu..hata wazungu wanamiliki kampuni nyingi za utalii mfano Abacombi
Abbercombie and Kent, hilo nalifahamu vizuri lakini huyo mzee alitaka kusema Arusha wanaumia kisa Wakenya sijui wamefanya nini ,yaani anataka kutuamnisha tatizo la utalii Arusha ni Wakenya ila sio yule aliyesema haitaji wazungu masikini ,kama hawawezi kulipa wasije
 
Haha Yaani isingekua heshima kwa wazee ,basi ningeshaingia matatizoni kwa hii ID yako

Nimecheka sana.....usiku mwema...lakini wakati mwingine mchezo huu kwenye JF hauhitaji hasira...
 
Akianza kusikiliza washauri na kulegeza kamba hapo tunaenda nimenote
Swala la bandari kuwafuata wafanya biashara
Swala la kuarisha safari ya Zambia na sasa kuongea na wadau !!!
Safi
La kuahirisha safari hajashauriwa hy nakataa,labda hyo mengine nayo cna hakika,huwa hasafiri safari
 
Juzi waliwafuata wafanyabiashara wakawaomba waitishe mizigo yao bandari ya salama.

Leo wanakutana na wadau wa utalii.

Serikali inaanza ku-surrender.
 
Leo nilikutana na jamaa mzito sana serikalini akaniambia kwa sasa wataalam wengi wanaona "BORA TUSHINDWE TUHESHIMIANE" nilishangaa sana
 
Waliotoa taarifa za uongo kuhusu kuongezeka kwa watalii hata baada ya VAT hasa kwenye mamlaka hizo kama Ngorongoro juzi kwenye msafara wa Kamshina Mkuu wa TRA na kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Arusha walioifanya katika maeneo kadhaa ya watalii na mahoteli watolewe kwani wanapotosha umma, kama yule RC kuhusu watumishi hewa kule Shinyanga
 
Back
Top Bottom