Wakolosai 3:14 inasema " zaidi ya hayo yote, jivikeni upendo, ndio kifungo cha ukamilifu". Dunia imeisha, hata hawa wanaota ndoto kwamba kuna siku dunia nzima itakuwa ya kiislam wanajifurahisha tu, kufumba na kufumbua wakati wakihangaika na hilo dunia itafika mwisho na wale wote wasiompokea Yesu Kristo aliye kafara la wokovu kama Bwana na Mwokozi wa maisha yao, watasogezwa mbele ya hukumu na watatupwa kwenye ziwa liwakalao moto na kiberiti milele na milele. ampendaye jirani yake hawezi kumchinja ati kwasababu haamini uislam, hawawi kumwazia mabaya, hiyo sio dini sahihi.
kuna wengine wanajifariji, labda kwasababu wao sio wa dini hiyo ya ajabuajabu, wao dini yao ni ya Kikristo, ila wanasali kwa jina la maria na wafu, wanaabudu dini badala ya Mungu, hamna tofauti yeyote na hao, nyote sehemu yenu ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti, kwasababu mmemkataa yeye aliyemwaga Damu kwa aajili ya kuwaokoa, mkatumainia uchawi, dini na viongozi wa dini. ninajua mpo gizani, Mungu awafumbue macho, kabla siku zenu hazijafutika. Mungu awasaidie.