Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,468
- 2,349
Kampuni ya utengenezaji wa magari ya Ashok Leyland India, imepokea oda ya thamani ya USD 170 milloin kwa ajili ya usumbazaji wa magari na spea toka kwa serikali ya Tanzania. Pamoja na usumbazaji wa magari hayo, Kampuni hiyo inategemea kutoa mafunzo ya aina mbalimbali kwa matumizi ya magari yake.
Ukiacha Tanzania nchi nyingine barani Afrika iliyoingia biashara na Kampuni hiyo ni Cote D' Ivore ambayo inategemea kutumia Dola za kimarekani million mia mbili.