Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,083
- 6,872
Mpaka watakapotoka madarakaniyaani serikali hii ya CCM badala ya kutumia fedha hizo kuwalipia wanafunzi waliokosa mikopo, wao wanakimbilia kwenda kununua magari ya washawasha ili kuwadhibiti UKAWA. hivi ni lini serikali hii itaanza kujitambua?